Nitapinga Israel kuwekewa vikwazo na UN hapo baadae.

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
2,819
Reaction score
5,996
Niaje waungwana

Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Pamoja na kwamba mimi siku zote husimamia hayo mambo niliyoorodhesha hapo juu na kuwapiga spana sana kina Netanyahu na mashoga wenzake huko Israel na hapa JF, lakini leo naomba niwe mtetezi wao kama ikitokea UN itaamua kuiwekea vikwazo Israel haswa vya silaha na uchumi basi mimi nitaomba wasiwekewe kwani kuiwekea vikwazo Israel ni sawa na kumkata mama maziwa ili asimnyonyeshe mwanae. Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.

Unaweza ukatumia akili yako mwenyewe binafsi uliyojaaliwa na Mungu (tofauti na propaganda za magharibi) uka imagine ikiwa Israel imekuwa ikisaidiwa silaha kila mwaka, bajeti za jeshi kila mwaka, misaada lukuki ya kibinaadam jumlisha kukingiwa kifua kwenye UN na mataifa hayo kwa miaka zaidi ya 70 toka iasisiwe lakini mara kwa mara imekuwa ikilalamika kuishiwa silaha, fedha za kuendesha jeshi lake na kadhalika, je itapowekewa vikwazo hata vya miaka miwili tu hali itakuaje?

Nafikiri vikwazo vinafaa kuwekewa nchi kama Iran, China na Russia. Kwani hawa jamaa wana mbinu nyingi za kuwafanya waishi bila kuguswa na vikwazo. I meana wana hadhina kubwa ya watu waliobobea kwa akili nyingi sana, ndomaana ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kisu, watatengeneza bunduki. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza bunduki, watatengeneza kifaru. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kifaru, watatengeneza misile au rocket. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza misile na rocket, watatengeneza drone nk. Ni watu wenye uwezo uliobobea ambao unawanyima usingizi wale wote wanaojifanya kuwa wao ndio wenye dunia hii.

Kina Iran wamewekewa vikwazo miaka zaidi ya 70 huko vya silaha, uchumi nk, lakini bado wana uwezo wa kutengeneza vitu ambao vina uwezo mkubwa wa kupenya anga zote zilizowekwa ulinzi na magharibi. Mtu unaweza kujiuliza imekuaje kuaje nchi ambayo imepewa uhuru wa kutengeneza silaha zozote inazotaka na zingine kupewa bure na mabwana zao wa Marekani na Ulaya, lakini bado imeshindwa mbinu na nchi yenye vikwazo kama Iran iliyowekewa vikwazo vikali mno na UN pamoj na nchi za magharibi.

Iran anachukua masilaha yaliojichokea na yalioisha muda wake anawapa hezbullah na wauthi kama msaada. Wahuthi na Hezbulla wanaamua kuzitest kwa Israel cha kushangaza mitumba hiyo ya Iran inapenya kila siku ktk anga ambalo tulidanganywa haliwezi kupenyeka kirahisi. Sasa unajiuliza kama mitumba inapita, je vyombo vipya vikitumwa vimtafute Nyetanyahu huko Tel Aviv ataweza kujificha wapi ili asifikiwe?

Anyway mimi sipendi Israel iwekewe vikwazo maana Israel ni kama nchi zetu nyingi za kiafrika, haiwezi kuishi bila misaada ya kijeshi, kiuchumi na kijamii. Haina watu wenye akili kubwa kama wa Iran, China, Russia nk ambao wanaweza kuzifanya nchi zao zisavaivu bila msaada hata wa sindano kutoka Ulaya na Marekani. Hivyo kuwawekea vikwazo waisrael ni sawa na kumkata mtu mjinga mkono wake wa kulia chakula. Nasema mtu mjinga kwa sababu mtu mjanja ukimkata mkono atatumia hata miguu yake kujilisha. Asilimia kubwa ya silaha zake zinatoka Marekani na Ulaya. Inasemekana hata ule mtambo wa kuzuia makombora ni wa USA ila waliamua kudai ni wa Israel ili kuwahadaa watu na kuwatishia nyau hamas japo, na wao walishtukia kuwa mfumo huo ni mbovu na kuanza kuvurumisha makombora huku mtambo huo ukidaka 30% huku 70% ikipenya kama kawa. So waachwe tu bila vikwazo. Siku Marekani na Ulaya wakiwachoka ndo utakuwa mwisho wao maana hawana uwezo wa kusavaivu wenyewe kwa mwaka hata mmoja tu bila misaada.

Wazungu wengi wenye akili na mali huko Marekani, na Ulaya ndio wamekuwa wakivalishwa Uisrael usiowahusu ili kuendelea kuhadaa dunia. Ukiuliza kama hao wazungu wenye akili na mali kwanini wasirudi Israel wakaijenge nchi yao na kuifanya iwe zaidi ya China, Ulaya na USA yenyewe utasikia ooh wale wapo kule kwa vile Israel haijapewa kila kitu. Wanasahau kuwa hata huko Ulaya kwenyewe nchi nyingi zilikuwa hazina kitu ndomaana walikuja Afrika na maeneo mengine ya dunia kutuibia ili leo wawe pale walipo leo.

So swala la kusema kuwa wale wayahudi wa mchongo wa Ulaya na Marekani hawawezi kurudi kwao Israel kuifanya nchi yao iwe namba 1 kiuchumi na kijeshi kwa sababu ya kukosa rasilimali zilizopo huko walipo ni uongo mtupu ambao hauna mashiko kiakili. Ukweli ni kwamba Israel kama Israel imejaa vilaza toka enzi za kina Musa ndomaana mpaka kina farao weusi tii kama sisi waliwachukua na kuwafanya watumwa. Na baadae wakaja warumi pia wakawaburuza kabla ya Ottoman kuja kumalizia.

So tusidanganyane maana sio kila mtu mweusi ni wakudanganywa.
 
True God BLESS, DEFEND and PROTECT Israel

Israel FOREVER whether you like it or not

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
 
Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.
Marekani, Ufaransa na Uingereza watatumia kura zao za 'Veto' kuzuia hivyo vikwazo, hivyo havitawekwa kabisa.
 
Kamwe sitoiunga mkono Israeli mpaka mambo yafuatayo yafanyike:
1. Kuundwa kwa taifa la palestina lililo huru.
2. Mipaka ya taifa hilo iwe ile ya mwanzo kabisa kabla ya vita ya waarabu na Israel
3. Israel kurudisha maeneo yote waliyoyatwaa tofauti na ardhi waliyokatiwa na waingereza.

Kama hayo yakitendeka basi nitaiunga mkono Israel na nitawalaani kwa nguvu zote wale watakao ishambulia israel. Ikibidi nitahamasisha watu kui support Israel. Tofauti na hapo ipigwe tu.

Huwezi kutoka sehemu karne kadhaa halafu urudi uwakute watu walishaishi hapo miaka kwa miaka halafu utake kuwaondoa, kila jamii ikifanya hivyo hapa duniani itakuwa vurugu
 
Niaje waungwana

Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Pamoja na kwamba mimi siku zote husimamia hayo mambo niliyoorodhesha hapo juu na kuwapiga spana sana kina Netanyahu na mashoga wenzake huko Israel na hapa JF, lakini leo naomba niwe mtetezi wao kama ikitokea UN itaamua kuiwekea vikwazo Israel haswa vya silaha na uchumi basi mimi nitaomba wasiwekewe kwani kuiwekea vikwazo Israel ni sawa na kumkata mama maziwa ili asimnyonyeshe mwanae. Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.

Unaweza ukatumia akili yako mwenyewe binafsi uliyojaaliwa na Mungu (tofauti na propaganda za magharibi) uka imagine ikiwa Israel imekuwa ikisaidiwa silaha kila mwaka, bajeti za jeshi kila mwaka, misaada lukuki ya kibinaadam jumlisha kukingiwa kifua kwenye UN na mataifa hayo kwa miaka zaidi ya 70 toka iasisiwe lakini mara kwa mara imekuwa ikilalamika kuishiwa silaha, fedha za kuendesha jeshi lake na kadhalika, je itapowekewa vikwazo hata vya miaka miwili tu hali itakuaje?

Nafikiri vikwazo vinafaa kuwekewa nchi kama Iran, China na Russia. Kwani hawa jamaa wana mbinu nyingi za kuwafanya waishi bila kuguswa na vikwazo. I meana wana hadhina kubwa ya watu waliobobea kwa akili nyingi sana, ndomaana ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kisu, watatengeneza bunduki. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza bunduki, watatengeneza kifaru. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kifaru, watatengeneza misile au rocket. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza misile na rocket, watatengeneza drone nk. Ni watu wenye uwezo uliobobea ambao unawanyima usingizi wale wote wanaojifanya kuwa wao ndio wenye dunia hii.

Kina Iran wamewekewa vikwazo miaka zaidi ya 70 huko vya silaha, uchumi nk, lakini bado wana uwezo wa kutengeneza vitu ambao vina uwezo mkubwa wa kupenya anga zote zilizowekwa ulinzi na magharibi. Mtu unaweza kujiuliza imekuaje kuaje nchi ambayo imepewa uhuru wa kutengeneza silaha zozote inazotaka na zingine kupewa bure na mabwana zao wa Marekani na Ulaya, lakini bado imeshindwa mbinu na nchi yenye vikwazo kama Iran iliyowekewa vikwazo vikali mno na UN pamoj na nchi za magharibi.

Iran anachukua masilaha yaliojichokea na yalioisha muda wake anawapa hezbullah na wauthi kama msaada. Wahuthi na Hezbulla wanaamua kuzitest kwa Israel cha kushangaza mitumba hiyo ya Iran inapenya kila siku ktk anga ambalo tulidanganywa haliwezi kupenyeka kirahisi. Sasa unajiuliza kama mitumba inapita, je vyombo vipya vikitumwa vimtafute Nyetanyahu huko Tel Aviv ataweza kujificha wapi ili asifikiwe?

Anyway mimi sipendi Israel iwekewe vikwazo maana Israel ni kama nchi zetu nyingi za kiafrika, haiwezi kuishi bila misaada ya kijeshi, kiuchumi na kijamii. Haina watu wenye akili kubwa kama wa Iran, China, Russia nk ambao wanaweza kuzifanya nchi zao zisavaivu bila msaada hata wa sindano kutoka Ulaya na Marekani. Hivyo kuwawekea vikwazo waisrael ni sawa na kumkata mtu mjinga mkono wake wa kulia chakula. Nasema mtu mjinga kwa sababu mtu mjanja ukimkata mkono atatumia hata miguu yake kujilisha. Asilimia kubwa ya silaha zake zinatoka Marekani na Ulaya. Inasemekana hata ule mtambo wa kuzuia makombora ni wa USA ila waliamua kudai ni wa Israel ili kuwahadaa watu na kuwatishia nyau hamas japo, na wao walishtukia kuwa mfumo huo ni mbovu na kuanza kuvurumisha makombora huku mtambo huo ukidaka 30% huku 70% ikipenya kama kawa. So waachwe tu bila vikwazo. Siku Marekani na Ulaya wakiwachoka ndo utakuwa mwisho wao maana hawana uwezo wa kusavaivu wenyewe kwa mwaka hata mmoja tu bila misaada.

Wazungu wengi wenye akili na mali huko Marekani, na Ulaya ndio wamekuwa wakivalishwa Uisrael usiowahusu ili kuendelea kuhadaa dunia. Ukiuliza kama hao wazungu wenye akili na mali kwanini wasirudi Israel wakaijenge nchi yao na kuifanya iwe zaidi ya China, Ulaya na USA yenyewe utasikia ooh wale wapo kule kwa vile Israel haijapewa kila kitu. Wanasahau kuwa hata huko Ulaya kwenyewe nchi nyingi zilikuwa hazina kitu ndomaana walikuja Afrika na maeneo mengine ya dunia kutuibia ili leo wawe pale walipo leo.

So swala la kusema kuwa wale wayahudi wa mchongo wa Ulaya na Marekani hawawezi kurudi kwao Israel kuifanya nchi yao iwe namba 1 kiuchumi na kijeshi kwa sababu ya kukosa rasilimali zilizopo huko walipo ni uongo mtupu ambao hauna mashiko kiakili. Ukweli ni kwamba Israel kama Israel imejaa vilaza toka enzi za kina Musa ndomaana mpaka kina farao weusi tii kama sisipp waliwachukua na kuwafanya watumwa. Na baadae wakaja warumi pia wakawaburuza kabla ya Ottoman kuja kumalizia.

So tusidanganyane maana sio kila mtu mweusi ni wakudanganywa.
Hapa bongo hasa walokole hauwaambii kitu hawa kuhusu hawa jamaa hati ukiwaambia watoe Tigo wako tiari ili mredi anayepewa ni misreli na wanaamini wwtabarikiwa pia
 
Unajua nyie watu mnafurahisha sana

Yaani, kila kitu mnamajibu nacho kuihusu Israel na bado mmeshindwa kuwapiga vilivyo

Shambulieni acheni ujinga!

Eti Israel ni dhaifu, mbona hamuwapigi mazayuni kisawsawa kama ni dhaifu?

Huo nao ni ujinga na pengine nyie watu ni kweli kabisa ndio watu mnaoongoza kwa kulialia duniani

Na huku nako ni kulialia
 
Huwezi kutoka sehemu karne kadhaa halafu urudi uwakute watu walishaishi hapo miaka kwa miaka halafu utake kuwaondoa, kila jamii ikifanya hivyo hapa duniani itakuwa vurugu
Kurudi wapi mkuu? Mbona kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa kina Netanyahu ni wazungu original kutoka UK, France, Poland, Greece nk ambao walienda kuvamia kule Palestina kwa malengo yao maalum kama vile waingereza walivyoivamia Marekani, Canada, Australia, New Zealand, South Africa nk na wamegoma kuondoka.
 
Unajua nyie watu mnafurahisha sana

Yaani, kila kitu mnamajibu nacho kuihusu Israel na bado mmeshindwa kuwapiga vilivyo

Shambulieni acheni ujinga!

Eti Israel ni dhaifu, mbona hamuwapigi mazayuni kisawsawa kama ni dhaifu?

Huo nao ni ujinga na pengine nyie watu ni kweli kabisa ndio watu mnaoongoza kwa kulialia duniani

Na huku nako ni kulialia
Soma comment numb 5 alioandika jamaa nafikiri inakuhusu.
 
Marekani, Ufaransa na Uingereza watatumia kura zao za 'Veto' kuzuia hivyo vikwazo, hivyo havitawekwa kabisa.
Na hiyo ndio kazi yao kubwa japo inaweza kutokea siku moja wakachoka kuwaunga mkono kwa kila kitu.
 
Niaje waungwana

Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Pamoja na kwamba mimi siku zote husimamia hayo mambo niliyoorodhesha hapo juu na kuwapiga spana sana kina Netanyahu na mashoga wenzake huko Israel na hapa JF, lakini leo naomba niwe mtetezi wao kama ikitokea UN itaamua kuiwekea vikwazo Israel haswa vya silaha na uchumi basi mimi nitaomba wasiwekewe kwani kuiwekea vikwazo Israel ni sawa na kumkata mama maziwa ili asimnyonyeshe mwanae. Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.

Unaweza ukatumia akili yako mwenyewe binafsi uliyojaaliwa na Mungu (tofauti na propaganda za magharibi) uka imagine ikiwa Israel imekuwa ikisaidiwa silaha kila mwaka, bajeti za jeshi kila mwaka, misaada lukuki ya kibinaadam jumlisha kukingiwa kifua kwenye UN na mataifa hayo kwa miaka zaidi ya 70 toka iasisiwe lakini mara kwa mara imekuwa ikilalamika kuishiwa silaha, fedha za kuendesha jeshi lake na kadhalika, je itapowekewa vikwazo hata vya miaka miwili tu hali itakuaje?

Nafikiri vikwazo vinafaa kuwekewa nchi kama Iran, China na Russia. Kwani hawa jamaa wana mbinu nyingi za kuwafanya waishi bila kuguswa na vikwazo. I meana wana hadhina kubwa ya watu waliobobea kwa akili nyingi sana, ndomaana ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kisu, watatengeneza bunduki. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza bunduki, watatengeneza kifaru. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kifaru, watatengeneza misile au rocket. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza misile na rocket, watatengeneza drone nk. Ni watu wenye uwezo uliobobea ambao unawanyima usingizi wale wote wanaojifanya kuwa wao ndio wenye dunia hii.

Kina Iran wamewekewa vikwazo miaka zaidi ya 70 huko vya silaha, uchumi nk, lakini bado wana uwezo wa kutengeneza vitu ambao vina uwezo mkubwa wa kupenya anga zote zilizowekwa ulinzi na magharibi. Mtu unaweza kujiuliza imekuaje kuaje nchi ambayo imepewa uhuru wa kutengeneza silaha zozote inazotaka na zingine kupewa bure na mabwana zao wa Marekani na Ulaya, lakini bado imeshindwa mbinu na nchi yenye vikwazo kama Iran iliyowekewa vikwazo vikali mno na UN pamoj na nchi za magharibi.

Iran anachukua masilaha yaliojichokea na yalioisha muda wake anawapa hezbullah na wauthi kama msaada. Wahuthi na Hezbulla wanaamua kuzitest kwa Israel cha kushangaza mitumba hiyo ya Iran inapenya kila siku ktk anga ambalo tulidanganywa haliwezi kupenyeka kirahisi. Sasa unajiuliza kama mitumba inapita, je vyombo vipya vikitumwa vimtafute Nyetanyahu huko Tel Aviv ataweza kujificha wapi ili asifikiwe?

Anyway mimi sipendi Israel iwekewe vikwazo maana Israel ni kama nchi zetu nyingi za kiafrika, haiwezi kuishi bila misaada ya kijeshi, kiuchumi na kijamii. Haina watu wenye akili kubwa kama wa Iran, China, Russia nk ambao wanaweza kuzifanya nchi zao zisavaivu bila msaada hata wa sindano kutoka Ulaya na Marekani. Hivyo kuwawekea vikwazo waisrael ni sawa na kumkata mtu mjinga mkono wake wa kulia chakula. Nasema mtu mjinga kwa sababu mtu mjanja ukimkata mkono atatumia hata miguu yake kujilisha. Asilimia kubwa ya silaha zake zinatoka Marekani na Ulaya. Inasemekana hata ule mtambo wa kuzuia makombora ni wa USA ila waliamua kudai ni wa Israel ili kuwahadaa watu na kuwatishia nyau hamas japo, na wao walishtukia kuwa mfumo huo ni mbovu na kuanza kuvurumisha makombora huku mtambo huo ukidaka 30% huku 70% ikipenya kama kawa. So waachwe tu bila vikwazo. Siku Marekani na Ulaya wakiwachoka ndo utakuwa mwisho wao maana hawana uwezo wa kusavaivu wenyewe kwa mwaka hata mmoja tu bila misaada.

Wazungu wengi wenye akili na mali huko Marekani, na Ulaya ndio wamekuwa wakivalishwa Uisrael usiowahusu ili kuendelea kuhadaa dunia. Ukiuliza kama hao wazungu wenye akili na mali kwanini wasirudi Israel wakaijenge nchi yao na kuifanya iwe zaidi ya China, Ulaya na USA yenyewe utasikia ooh wale wapo kule kwa vile Israel haijapewa kila kitu. Wanasahau kuwa hata huko Ulaya kwenyewe nchi nyingi zilikuwa hazina kitu ndomaana walikuja Afrika na maeneo mengine ya dunia kutuibia ili leo wawe pale walipo leo.

So swala la kusema kuwa wale wayahudi wa mchongo wa Ulaya na Marekani hawawezi kurudi kwao Israel kuifanya nchi yao iwe namba 1 kiuchumi na kijeshi kwa sababu ya kukosa rasilimali zilizopo huko walipo ni uongo mtupu ambao hauna mashiko kiakili. Ukweli ni kwamba Israel kama Israel imejaa vilaza toka enzi za kina Musa ndomaana mpaka kina farao weusi tii kama sisi waliwachukua na kuwafanya watumwa. Na baadae wakaja warumi pia wakawaburuza kabla ya Ottoman kuja kumalizia.

So tusidanganyane maana sio kila mtu mweusi ni wakudanganywa.
Hivi waislamu mnafundishwaga ubishi kwenye dini yenu yaani israel hataiwashushie kipondo vipi magaidi wenu mnasema israel imeshindwa na magaidi wameshinda na israel ni dhaifu cha ajabu israel haijawahi kushindwa hata kavita kamoja dhidi ya waarabu
 
We me.nde wa chooni hebu jadili hoja bila kuingiza udini. Ni wapi nilipotaja dini yangu au dini ya mtu?

Mwl Nyerere alipowapinga waisrael alikuwa muislam?

Bishop Dosmond Tutu kiongozi mkuu wa kanisa nchini Afrika kusini alipoonesha kuwachukia hao mashoga wenzako na kuwashambulia alikuwa muislam?

Mandela je alipowaonesha chuki za wazi mashoga wenzako na yeye alikuwa muislam?

Inamaana hauwezi kupinga jambo fulani hata kama la hovyo kama hili la kina Nitanyahu kukubali kuwapa wanaume wenzao vijambio vyao kisa limefanywa na wa dini yako?

Je sisi tunaokwepa dini zilizoletwa na mitumbwi haturuhusiwi kuwaongelea Israel kwa ujinga wao wa kukubali kuwa mashoga na ukatili mungine wanaofanya kisa ni dini yako?

Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa siku zote mpumbavu akiishiwa hoja basi hukimbilia kujificha katika kichaka cha dini, rangi au jinsia. Hivyo wewe ni mmoja wapo.
 
Niaje waungwana

Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Pamoja na kwamba mimi siku zote husimamia hayo mambo niliyoorodhesha hapo juu na kuwapiga spana sana kina Netanyahu na mashoga wenzake huko Israel na hapa JF, lakini leo naomba niwe mtetezi wao kama ikitokea UN itaamua kuiwekea vikwazo Israel haswa vya silaha na uchumi basi mimi nitaomba wasiwekewe kwani kuiwekea vikwazo Israel ni sawa na kumkata mama maziwa ili asimnyonyeshe mwanae. Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.

Unaweza ukatumia akili yako mwenyewe binafsi uliyojaaliwa na Mungu (tofauti na propaganda za magharibi) uka imagine ikiwa Israel imekuwa ikisaidiwa silaha kila mwaka, bajeti za jeshi kila mwaka, misaada lukuki ya kibinaadam jumlisha kukingiwa kifua kwenye UN na mataifa hayo kwa miaka zaidi ya 70 toka iasisiwe lakini mara kwa mara imekuwa ikilalamika kuishiwa silaha, fedha za kuendesha jeshi lake na kadhalika, je itapowekewa vikwazo hata vya miaka miwili tu hali itakuaje?

Nafikiri vikwazo vinafaa kuwekewa nchi kama Iran, China na Russia. Kwani hawa jamaa wana mbinu nyingi za kuwafanya waishi bila kuguswa na vikwazo. I meana wana hadhina kubwa ya watu waliobobea kwa akili nyingi sana, ndomaana ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kisu, watatengeneza bunduki. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza bunduki, watatengeneza kifaru. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kifaru, watatengeneza misile au rocket. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza misile na rocket, watatengeneza drone nk. Ni watu wenye uwezo uliobobea ambao unawanyima usingizi wale wote wanaojifanya kuwa wao ndio wenye dunia hii.

Kina Iran wamewekewa vikwazo miaka zaidi ya 70 huko vya silaha, uchumi nk, lakini bado wana uwezo wa kutengeneza vitu ambao vina uwezo mkubwa wa kupenya anga zote zilizowekwa ulinzi na magharibi. Mtu unaweza kujiuliza imekuaje kuaje nchi ambayo imepewa uhuru wa kutengeneza silaha zozote inazotaka na zingine kupewa bure na mabwana zao wa Marekani na Ulaya, lakini bado imeshindwa mbinu na nchi yenye vikwazo kama Iran iliyowekewa vikwazo vikali mno na UN pamoj na nchi za magharibi.

Iran anachukua masilaha yaliojichokea na yalioisha muda wake anawapa hezbullah na wauthi kama msaada. Wahuthi na Hezbulla wanaamua kuzitest kwa Israel cha kushangaza mitumba hiyo ya Iran inapenya kila siku ktk anga ambalo tulidanganywa haliwezi kupenyeka kirahisi. Sasa unajiuliza kama mitumba inapita, je vyombo vipya vikitumwa vimtafute Nyetanyahu huko Tel Aviv ataweza kujificha wapi ili asifikiwe?

Anyway mimi sipendi Israel iwekewe vikwazo maana Israel ni kama nchi zetu nyingi za kiafrika, haiwezi kuishi bila misaada ya kijeshi, kiuchumi na kijamii. Haina watu wenye akili kubwa kama wa Iran, China, Russia nk ambao wanaweza kuzifanya nchi zao zisavaivu bila msaada hata wa sindano kutoka Ulaya na Marekani. Hivyo kuwawekea vikwazo waisrael ni sawa na kumkata mtu mjinga mkono wake wa kulia chakula. Nasema mtu mjinga kwa sababu mtu mjanja ukimkata mkono atatumia hata miguu yake kujilisha. Asilimia kubwa ya silaha zake zinatoka Marekani na Ulaya. Inasemekana hata ule mtambo wa kuzuia makombora ni wa USA ila waliamua kudai ni wa Israel ili kuwahadaa watu na kuwatishia nyau hamas japo, na wao walishtukia kuwa mfumo huo ni mbovu na kuanza kuvurumisha makombora huku mtambo huo ukidaka 30% huku 70% ikipenya kama kawa. So waachwe tu bila vikwazo. Siku Marekani na Ulaya wakiwachoka ndo utakuwa mwisho wao maana hawana uwezo wa kusavaivu wenyewe kwa mwaka hata mmoja tu bila misaada.

Wazungu wengi wenye akili na mali huko Marekani, na Ulaya ndio wamekuwa wakivalishwa Uisrael usiowahusu ili kuendelea kuhadaa dunia. Ukiuliza kama hao wazungu wenye akili na mali kwanini wasirudi Israel wakaijenge nchi yao na kuifanya iwe zaidi ya China, Ulaya na USA yenyewe utasikia ooh wale wapo kule kwa vile Israel haijapewa kila kitu. Wanasahau kuwa hata huko Ulaya kwenyewe nchi nyingi zilikuwa hazina kitu ndomaana walikuja Afrika na maeneo mengine ya dunia kutuibia ili leo wawe pale walipo leo.

So swala la kusema kuwa wale wayahudi wa mchongo wa Ulaya na Marekani hawawezi kurudi kwao Israel kuifanya nchi yao iwe namba 1 kiuchumi na kijeshi kwa sababu ya kukosa rasilimali zilizopo huko walipo ni uongo mtupu ambao hauna mashiko kiakili. Ukweli ni kwamba Israel kama Israel imejaa vilaza toka enzi za kina Musa ndomaana mpaka kina farao weusi tii kama sisi waliwachukua na kuwafanya watumwa. Na baadae wakaja warumi pia wakawaburuza kabla ya Ottoman kuja kumalizia.

So tusidanganyane maana sio kila mtu mweusi ni wakudanganywa.
Wacha story nyingi Israel hawezi kuwekewa sunction sababu sunction in tools kaianzisha US, UK na Western wanazitumia kwa maslaha yao, Israel wao ndio wameipandikiza hapo Middle East afu waipige sunction 😄
 
Mkuu we una Kura ya veto
 
True God BLESS, DEFEND and PROTECT Israel

Israel FOREVER whether you like it or not

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE
Msikie Myahudi hapo anavyo wafundisheni anasema; Judaism do not believe that Jesus of Nazareth was the Messiah nor do they believe he was the Son of God. Kwa hio Yesu si Mungu na pia anawambia sio Messiah si bora hata Waislam wanamkubali Yesu ni Massiah.

View: https://youtu.be/Ey3-Eo9ZfLs?si=lkn0HhMx6dobXgNy

Yani nyie wakristo hamna thamani kabisa kwa Wayahudi bora hata Waislam wanathamani kwa Wayahudi unapo kuja kwenye swali la imani.
 
Niaje waungwana

Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Pamoja na kwamba mimi siku zote husimamia hayo mambo niliyoorodhesha hapo juu na kuwapiga spana sana kina Netanyahu na mashoga wenzake huko Israel na hapa JF, lakini leo naomba niwe mtetezi wao kama ikitokea UN itaamua kuiwekea vikwazo Israel haswa vya silaha na uchumi basi mimi nitaomba wasiwekewe kwani kuiwekea vikwazo Israel ni sawa na kumkata mama maziwa ili asimnyonyeshe mwanae. Hapa namaanisha kuwa Israel ni mtoto mchanga ambae hawezi kujilisha (mpaka alishwe) na wafadhili wake Marekani, UK, France, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk ndio mzazi. Hivyo kuiwekea vikwazo Israel itamaanisha kwamba hayo mataifa hayatoruhusiwa tena kuifadhili Israel na hivyo kupelekea taifa hilo kujifia haraka na kupotea katika dunia jambo ambalo hata mimi siliungi mkono hata kidogo.

Unaweza ukatumia akili yako mwenyewe binafsi uliyojaaliwa na Mungu (tofauti na propaganda za magharibi) uka imagine ikiwa Israel imekuwa ikisaidiwa silaha kila mwaka, bajeti za jeshi kila mwaka, misaada lukuki ya kibinaadam jumlisha kukingiwa kifua kwenye UN na mataifa hayo kwa miaka zaidi ya 70 toka iasisiwe lakini mara kwa mara imekuwa ikilalamika kuishiwa silaha, fedha za kuendesha jeshi lake na kadhalika, je itapowekewa vikwazo hata vya miaka miwili tu hali itakuaje?

Nafikiri vikwazo vinafaa kuwekewa nchi kama Iran, China na Russia. Kwani hawa jamaa wana mbinu nyingi za kuwafanya waishi bila kuguswa na vikwazo. I meana wana hadhina kubwa ya watu waliobobea kwa akili nyingi sana, ndomaana ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kisu, watatengeneza bunduki. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza bunduki, watatengeneza kifaru. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza kifaru, watatengeneza misile au rocket. Ukiwawekea vikwazo vya kutengeneza misile na rocket, watatengeneza drone nk. Ni watu wenye uwezo uliobobea ambao unawanyima usingizi wale wote wanaojifanya kuwa wao ndio wenye dunia hii.

Kina Iran wamewekewa vikwazo miaka zaidi ya 70 huko vya silaha, uchumi nk, lakini bado wana uwezo wa kutengeneza vitu ambao vina uwezo mkubwa wa kupenya anga zote zilizowekwa ulinzi na magharibi. Mtu unaweza kujiuliza imekuaje kuaje nchi ambayo imepewa uhuru wa kutengeneza silaha zozote inazotaka na zingine kupewa bure na mabwana zao wa Marekani na Ulaya, lakini bado imeshindwa mbinu na nchi yenye vikwazo kama Iran iliyowekewa vikwazo vikali mno na UN pamoj na nchi za magharibi.

Iran anachukua masilaha yaliojichokea na yalioisha muda wake anawapa hezbullah na wauthi kama msaada. Wahuthi na Hezbulla wanaamua kuzitest kwa Israel cha kushangaza mitumba hiyo ya Iran inapenya kila siku ktk anga ambalo tulidanganywa haliwezi kupenyeka kirahisi. Sasa unajiuliza kama mitumba inapita, je vyombo vipya vikitumwa vimtafute Nyetanyahu huko Tel Aviv ataweza kujificha wapi ili asifikiwe?

Anyway mimi sipendi Israel iwekewe vikwazo maana Israel ni kama nchi zetu nyingi za kiafrika, haiwezi kuishi bila misaada ya kijeshi, kiuchumi na kijamii. Haina watu wenye akili kubwa kama wa Iran, China, Russia nk ambao wanaweza kuzifanya nchi zao zisavaivu bila msaada hata wa sindano kutoka Ulaya na Marekani. Hivyo kuwawekea vikwazo waisrael ni sawa na kumkata mtu mjinga mkono wake wa kulia chakula. Nasema mtu mjinga kwa sababu mtu mjanja ukimkata mkono atatumia hata miguu yake kujilisha. Asilimia kubwa ya silaha zake zinatoka Marekani na Ulaya. Inasemekana hata ule mtambo wa kuzuia makombora ni wa USA ila waliamua kudai ni wa Israel ili kuwahadaa watu na kuwatishia nyau hamas japo, na wao walishtukia kuwa mfumo huo ni mbovu na kuanza kuvurumisha makombora huku mtambo huo ukidaka 30% huku 70% ikipenya kama kawa. So waachwe tu bila vikwazo. Siku Marekani na Ulaya wakiwachoka ndo utakuwa mwisho wao maana hawana uwezo wa kusavaivu wenyewe kwa mwaka hata mmoja tu bila misaada.

Wazungu wengi wenye akili na mali huko Marekani, na Ulaya ndio wamekuwa wakivalishwa Uisrael usiowahusu ili kuendelea kuhadaa dunia. Ukiuliza kama hao wazungu wenye akili na mali kwanini wasirudi Israel wakaijenge nchi yao na kuifanya iwe zaidi ya China, Ulaya na USA yenyewe utasikia ooh wale wapo kule kwa vile Israel haijapewa kila kitu. Wanasahau kuwa hata huko Ulaya kwenyewe nchi nyingi zilikuwa hazina kitu ndomaana walikuja Afrika na maeneo mengine ya dunia kutuibia ili leo wawe pale walipo leo.

So swala la kusema kuwa wale wayahudi wa mchongo wa Ulaya na Marekani hawawezi kurudi kwao Israel kuifanya nchi yao iwe namba 1 kiuchumi na kijeshi kwa sababu ya kukosa rasilimali zilizopo huko walipo ni uongo mtupu ambao hauna mashiko kiakili. Ukweli ni kwamba Israel kama Israel imejaa vilaza toka enzi za kina Musa ndomaana mpaka kina farao weusi tii kama sisi waliwachukua na kuwafanya watumwa. Na baadae wakaja warumi pia wakawaburuza kabla ya Ottoman kuja kumalizia.

So tusidanganyane maana sio kila mtu mweusi ni wakudanganywa.
hii inahitaji C moja ili upate kuelewa
 
Wacha story nyingi Israel hawezi kuwekewa sunction sababu sunction in tools kaianzisha US, UK na Western wanazitumia kwa maslaha yao, Israel wao ndio wameipandikiza hapo Middle East afu waipige sunction 😄
Hahaha mkuu hapa nimetumia fasihi zaidi 😂😂, so inahitaji kutulia ili uelewe vizuri maana ya thread hii 😂😂😂
 
Wewe ukipinga usipinge nani akujuwae?
Mkuu hivi hata wewe umeshindwa kuusoma vizuri uzi huu ukaelewa zaidi lengo la ujumbe huu. Inamaana umeshasahau fasihi zinazotumika kumzunguka mtu ili asijue kuwa kazungukwa?

Dah....
 
Back
Top Bottom