6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #21
Hahaha hilo ndio tatizo lao, kutanguliza dini hata pale ambapo hapahusiani kabisa na maswala ya dini 😂😂😂Hapa bongo hasa walokole hauwaambii kitu hawa kuhusu hawa jamaa hati ukiwaambia watoe Tigo wako tiari ili mredi anayepewa ni misreli na wanaamini wwtabarikiwa pia