Msikie Myahudi hapo anavyo wafundisheni anasema; Judaism do not believe that Jesus of Nazareth was the Messiah nor do they believe he was the Son of God. Kwa hio Yesu si Mungu na pia anawambia sio Messiah si bora hata Waislam wanamkubali Yesu ni Massiah.
View: https://youtu.be/Ey3-Eo9ZfLs?si=lkn0HhMx6dobXgNy
Yani nyie wakristo hamna thamani kabisa kwa Wayahudi bora hata Waislam wanathamani kwa Wayahudi unapo kuja kwenye swali la imani.