vyuo vya serikali havina shida,wakati mwingine hata kama huna ada ukijieleza wanakuelewa,bado hujachelewa na uzuri wakuu wa vyuo wanaelewa hualisia wa maisha ya watanzania,wewe nenda mkuu hata usiwe na wasiwasi,utapokelewa vizuri
Kwanza Karibu sana JF!
Back to the topic.Je, hukuwahi mjullsha Pincipal wako kuwa utachelewa kidogo kwaajili ya kusaka KARO? Kama hukufanya hivyo, ULIKOSEA. Lakini pia je, mpaka sasa umejaribu wailiana nae ili ujue HATIMA YAKO au umeona uanzie kwanza hapa JF? Je, Join Instructon inasema nini juu ya issue kama yako?
Anyway, Wasiiana nae sasa hivi ili ujue aima yako

nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita na kuhusu joining instructions haijaelezea kwa watakaochelewa zaid ya kusisitiza kuwa usipokuwa na michango kamilifu hupokelewi.