morachax
Member
- Nov 12, 2014
- 17
- 2
Salaam wanaJF, nilimechaguliwa kujiunga dip ya ualimu lakin nilikuwa cjariport bado kutokana na kuendelea kutafuta ada kama mnAvowlewa baadhi yenu kuwa Serikali umetusurprise mwaka nA ongezeko la ada kufikia laki 6.
So nimechelewa maana nilikuwa bado na haha huku na kule kuipata hiyo maana sina msaada mwingine zaid ya kujisimamia mwenyew na Mungu wangu tu, nafikiria kwenda kuripot weekend hii baada ya michango kukamilika hofu yangu ni huko chuoni maana kimefunguliwa toka trh 6 wa 10.