Nitapokelewa kweli chuoni?

Nitapokelewa kweli chuoni?

morachax

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
17
Reaction score
2
Salaam wanaJF, nilimechaguliwa kujiunga dip ya ualimu lakin nilikuwa cjariport bado kutokana na kuendelea kutafuta ada kama mnAvowlewa baadhi yenu kuwa Serikali umetusurprise mwaka nA ongezeko la ada kufikia laki 6.

So nimechelewa maana nilikuwa bado na haha huku na kule kuipata hiyo maana sina msaada mwingine zaid ya kujisimamia mwenyew na Mungu wangu tu, nafikiria kwenda kuripot weekend hii baada ya michango kukamilika hofu yangu ni huko chuoni maana kimefunguliwa toka trh 6 wa 10.
 
vyuo vya serikali havina shida,wakati mwingine hata kama huna ada ukijieleza wanakuelewa,bado hujachelewa na uzuri wakuu wa vyuo wanaelewa hualisia wa maisha ya watanzania,wewe nenda mkuu hata usiwe na wasiwasi,utapokelewa vizuri
 
Kwanza Karibu sana JF!
Back to the topic.Je, hukuwahi mjullsha Pincipal wako kuwa utachelewa kidogo kwaajili ya kusaka KARO? Kama hukufanya hivyo, ULIKOSEA.

Lakini pia je, mpaka sasa umejaribu wailiana nae ili ujue HATIMA YAKO au umeona uanzie kwanza hapa JF? Je, Join Instructon inasema nini juu ya issue kama yako?

Anyway, Wasiiana nae sasa hivi ili ujue aima yako
 
vyuo vya serikali havina shida,wakati mwingine hata kama huna ada ukijieleza wanakuelewa,bado hujachelewa na uzuri wakuu wa vyuo wanaelewa hualisia wa maisha ya watanzania,wewe nenda mkuu hata usiwe na wasiwasi,utapokelewa vizuri

nashukuru kwa kunitia moyo maana nilijawa hofu
 
Kwanza Karibu sana JF!
Back to the topic.Je, hukuwahi mjullsha Pincipal wako kuwa utachelewa kidogo kwaajili ya kusaka KARO? Kama hukufanya hivyo, ULIKOSEA. Lakini pia je, mpaka sasa umejaribu wailiana nae ili ujue HATIMA YAKO au umeona uanzie kwanza hapa JF? Je, Join Instructon inasema nini juu ya issue kama yako?

Anyway, Wasiiana nae sasa hivi ili ujue aima yako

nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita
 
Kwanza Karibu sana JF!
Back to the topic.Je, hukuwahi mjullsha Pincipal wako kuwa utachelewa kidogo kwaajili ya kusaka KARO? Kama hukufanya hivyo, ULIKOSEA. Lakini pia je, mpaka sasa umejaribu wailiana nae ili ujue HATIMA YAKO au umeona uanzie kwanza hapa JF? Je, Join Instructon inasema nini juu ya issue kama yako?

Anyway, Wasiiana nae sasa hivi ili ujue aima yako

nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita na kuhusu joining instructions haijaelezea kwa watakaochelewa zaid ya kusisitiza kuwa usipokuwa na michango kamilifu hupokelewi.
 
nilituma email chuoni kuwataarifu but week iliyopita na kuhusu joining instructions haijaelezea kwa watakaochelewa zaid ya kusisitiza kuwa usipokuwa na michango kamilifu hupokelewi.

Kama umepata ADA anza safari kesho kuwahi chuo.
 
Back
Top Bottom