JituParaTupu
Member
- Nov 20, 2008
- 92
- 9
watu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bongeMimi sijui dawa bwana
ila pole
unene nao kero kumbe sometimes? Sie vimbaumbau kumbe tunaenjoy
Ngoja nikuPM naona sasa unakiuka maadili ya familia yetuwatu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bonge
punguza kula, kama huwezi kufanya mazoezi kaa sehem za joto utoke jasho (usisahau kuoga baada ya jasho), kunywa maji mengi asubuhi baada kupiga mswaki, kula tembe moja ya kitunguu saumu kila siku (tembe moja tu sio kitunguu kizima), kama una cheo serikalini jiuzulu, acha tabia ya kulala lala sana na kucheka cheka bila sababu.
pia kuna njia nyengine ya mkato lakini hii sikushauri, ukiowa mwanamke kicheche, ndani ya wiki mbili utakuwa mwembamba kama simu ya motorola L6 (saidi ifekti ni marazi ya moyo lakini rezalti garantii)
Wakuu,
Naomba nisaidiwe. Mimi kimaumbile ni mnene na mzito. Siwezi kufanya mazoezi kwa sababu bado naugulia maumivu yaliyotokana na kuvunjika mguu. Siwezi kabisa kukimbia. Nitumie njia gani ili niweze kupungua uzito na unene huu?
Kama kuna anayefahamu siri ya kupungua kwa uzito kwa mwanamitindo Mustafa Hassanali tafadhali aniambie.
Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaokuwa serious kunisaidia.
Funga na kuomba siku 40.Ule jioni tu.Utaona matokeo yake.
watu afya sie no diet nothing loh! mi natafuta dawa y akichina niwe bonge
mnhhhhhhh, mpwa hapa sasa utamuingiza c.h.o.o cha kike huyu mkuu!!Funga na kuomba siku 40.Ule jioni tu.Utaona matokeo yake.
Funga na kuomba siku 40.Ule jioni tu.Utaona matokeo yake.
Kama ni mgonjwa wa miguu huwezi fanya mazoezi, kunywa vidonge vya kupunguza uzito.
sisitaaa unadhani ni rahisi kiivyo ..[/QUOTE
Mtaka cha uvunguni,sharti ainame.....