Nitapunguzaje uzito?

Nitapunguzaje uzito?

vipi sipo pole sana na msiba nakuona umerudi kwa kasi.
Mkuu nashukuru, nimerudi ndani ya jahazi Mpwa wangu.
Ngoja tumpe huyu ndugu yetu dawa ya kupunguza unene
Angekuwa Matejoo au Ungalimited ili tatizo lingeshakwisha
 
Shem bana unanifurahisha,hebu fikiria kule uvunguni kuna gunia la dhahabu,halafu kwa nyuma kuna watu,kwa kweli sitawajali,mimi nitakosentreti kwenye dhahabu,kwa sababu najua nikizipata nitawagawia na heshima itarudi palepale.
Shemeji ebu acha masihara bwana!!
Yaani watu wakae nyuma na mitarimbo yao halafu uwe comfortable kwa sababu ya money money!!

Back to point, kuna dawa moja ya Kimaasai nimeisaahau jina,, ebu jaribu kuwacheki Wamaasai mtaani kwako. ONYO wawe Wamasai wa kweli wasije wakauingiza mkenge
 
Mtarimbo kitu gani shemeji,mimi ni mjasiriamali.Na-take RISKS, kwa hiyo hata kama kuna shotgan siogopi.
kwenye point,mie naona ungemsaidia kuwapata hao wamasai,nahis una uzoefu wa kuwpata wamasai original.
 
HakyaMama huu ujasiriamali wako kiboko shemeji. Mwe! Manake pesa imezua jambo

Mie nitampa direction mtoa mada awapate pure Maasai

Dah!!
 
Mtarimbo kitu gani shemeji,mimi ni mjasiriamali.Na-take RISKS, kwa hiyo hata kama kuna shotgan siogopi.
kwenye point,mie naona ungemsaidia kuwapata hao wamasai,nahis una uzoefu wa kuwpata wamasai original.
hahahaaaaaaa binamu shemeji umeniacha hoi sana!.
all in all jamani madawa hayaaminiki, na kuna watu wanapesa mingi sana wanatamani kuwa wembamba wameshakula madawa hadi wamedata, njia rahisi ni MAZOEZI tu.
na wasiwasi na mtoa mada anaposema kwamba mguu mbovu!, huyu tayari ameshajua dawa ni kukimbia/kufanya mazoezi ila ni MVIVU tu anataka njia mbadala, CHEAP IS EXPENSIVE jamani.
 
I concur with you Mpwa
Vipi jamaa anaweza kutumia yale mazoezi ya bedroom kupunguza uzito?
 
Eti Mtoa mada wewe ni bonge kama huyu? Lakini mbona huyu bestie yeye yuko komfotable na ubonge wake. Nunua tuku tuku ukipigwa na upepo kama mshikaji hapa three times a week utapungua muda si muda. Serious
 
hahahaaaaaaa binamu shemeji umeniacha hoi sana!.
all in all jamani madawa hayaaminiki, na kuna watu wanapesa mingi sana wanatamani kuwa wembamba wameshakula madawa hadi wamedata, njia rahisi ni MAZOEZI tu.
na wasiwasi na mtoa mada anaposema kwamba mguu mbovu!,

huyu tayari ameshajua dawa ni kukimbia/kufanya mazoezi ila ni MVIVU tu anataka njia mbadala, CHEAP IS EXPENSIVE jamani.

Shem,kula senkis kwanza.Yani umegonga ikulu kabisa.Narudia tena NO PAIN NO GAIN.Hata mafisadi au waua albino huwa wanatumia nguvu nyingi sana mpka kufanikiwa.Labda Sipo atuhakikishie kama hiz dawa za kima mama/baba YOYOOO hazina side ifekt.
 
Eti Mtoa mada wewe ni bonge kama huyu? Lakini mbona huyu bestie yeye yuko komfotable na ubonge wake. Nunua tuku tuku ukipigwa na upepo kama mshikaji hapa three times a week utapungua muda si muda. Serious
Labda mtoa mada ni mbunge wa huko kusini.
 
Shem,kula senkis kwanza.Yani umegonga ikulu kabisa.Narudia tena NO PAIN NO GAIN.Hata mafisadi au waua albino huwa wanatumia nguvu nyingi sana mpka kufanikiwa.Labda Sipo atuhakikishie kama hiz dawa za kima mama/baba YOYOOO hazina side ifekt.
hazina side effects unless ukutane na zile feki za Wamasai wa Kariakoo waliozaliwa Bunju na kukulia Tabata. Otherwise i recommend Maasai medicines as the best
 
1. angalia sana chakula unachokula - kiwe mchemsho - bila kuweka mafuta hata chembe
2. acha kula kuku wa kisasa na mayai yake - kula wa kienyeji tu -
3. acha kutumia bluebank/butter etc.
4. kula toasted bread au brown bread tu
5. kula matunda na mboga za majani kwa wingi kuliko vyakula vya starch e.g wali, ugali mweupe, chapati, tambi etc.
6. mafuta ya kupikia tumia "olive oil" tu - ni expensive ila ndiyo yanafaa
7. usile sukari kabisa
8. usinywe soda aina yoyote - labda soda waters tu
9. tumia juice (fresh isiyoongezwa sukari)
10. kunywa maji ya kutosha
After two weeks - utapendeza, ngozi laini, mafuta yameyeyuka yote.

All the best
 
Back
Top Bottom