Nitapunguzaje uzito?

vipi sipo pole sana na msiba nakuona umerudi kwa kasi.
Mkuu nashukuru, nimerudi ndani ya jahazi Mpwa wangu.
Ngoja tumpe huyu ndugu yetu dawa ya kupunguza unene
Angekuwa Matejoo au Ungalimited ili tatizo lingeshakwisha
 
Eti Mtoa mada wewe ni bonge kama huyu? Lakini mbona huyu bestie yeye yuko komfotable na ubonge wake. Nunua tuku tuku ukipigwa na upepo kama mshikaji hapa three times a week utapungua muda si muda. Serious
 
Shem,kula senkis kwanza.Yani umegonga ikulu kabisa.Narudia tena NO PAIN NO GAIN.Hata mafisadi au waua albino huwa wanatumia nguvu nyingi sana mpka kufanikiwa.Labda Sipo atuhakikishie kama hiz dawa za kima mama/baba YOYOOO hazina side ifekt.
 
Labda mtoa mada ni mbunge wa huko kusini.
 
Shem,kula senkis kwanza.Yani umegonga ikulu kabisa.Narudia tena NO PAIN NO GAIN.Hata mafisadi au waua albino huwa wanatumia nguvu nyingi sana mpka kufanikiwa.Labda Sipo atuhakikishie kama hiz dawa za kima mama/baba YOYOOO hazina side ifekt.
hazina side effects unless ukutane na zile feki za Wamasai wa Kariakoo waliozaliwa Bunju na kukulia Tabata. Otherwise i recommend Maasai medicines as the best
 
1. angalia sana chakula unachokula - kiwe mchemsho - bila kuweka mafuta hata chembe
2. acha kula kuku wa kisasa na mayai yake - kula wa kienyeji tu -
3. acha kutumia bluebank/butter etc.
4. kula toasted bread au brown bread tu
5. kula matunda na mboga za majani kwa wingi kuliko vyakula vya starch e.g wali, ugali mweupe, chapati, tambi etc.
6. mafuta ya kupikia tumia "olive oil" tu - ni expensive ila ndiyo yanafaa
7. usile sukari kabisa
8. usinywe soda aina yoyote - labda soda waters tu
9. tumia juice (fresh isiyoongezwa sukari)
10. kunywa maji ya kutosha
After two weeks - utapendeza, ngozi laini, mafuta yameyeyuka yote.

All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…