Nitarudi tena Colombia

Nitarudi tena Colombia

Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.

Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe ndio maisha halisi ya miji ya Colombia.

Ila kuna wanawake wazuri sana aisee kule Latin America, unakuta mzungu ana matako kama mwafrika acha acha kabisa.

Brazil wahuni ni wengi mno, ukiongea english ni kama unajichongea wanajua unatoka Marekani utaandamwa na kuviziwa kila mahali.

Ila kule Marekani ni kama bwana wao, hawajui chochote zaidi ya Marekani magari yao mengi yanatoka Marekani, unapishana na gari kumi unaona toyota moja.

Nilichokipenda ni starehe, kama unapenda mademu kula unakufa haraka sana, ni wazuri, wazuri, wazuri mno.

Nitarudi tena Bogota
ukitaka kurudi nistue twende wote
 
Kaka sio propanganda, wenyeji wetu walituambia kabisa sehemu ya kwenda na sehemu ambayo htutakiwi kwenda. Kule kuna wahuni kwelikweli. Ila wanaiabudu sana Marekani
Nchi za Latin America unatakiwa utembee na mwenyeji kwa usalama wako,ukiwa na mwenyeji hata ule mji wa wababe wa Brazil kama Cantagalo Favela utavisit.
 
Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.

Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe ndio maisha halisi ya miji ya Colombia.

Ila kuna wanawake wazuri sana aisee kule Latin America, unakuta mzungu ana matako kama mwafrika acha acha kabisa.

Brazil wahuni ni wengi mno, ukiongea english ni kama unajichongea wanajua unatoka Marekani utaandamwa na kuviziwa kila mahali.

Ila kule Marekani ni kama bwana wao, hawajui chochote zaidi ya Marekani magari yao mengi yanatoka Marekani, unapishana na gari kumi unaona toyota moja.

Nilichokipenda ni starehe, kama unapenda mademu kula unakufa haraka sana, ni wazuri, wazuri, wazuri mno.

Nitarudi tena Bogota
Wanapenda pesa kama wa huku au kawaida,
 
Jamani naombeni kujua lifestyle la Jamaica,kuanzia shuleni(hv hawa majamaa huko wakogo busy na shule kweli),
mtaani wanavyoishi(kama minyanduo ya kimasihara,singo maza,vibinti under 18 vinavyoishi),
Polisi na raia na uharifu kwa ujum

Wanapenda pesa kama wa huku au kawaida,
Wanawake wote duniani kipaumbele ni fedha. Kule ukitaka mwamamke fedha mbele, lakini uzuri wao ni kwamba utaenjoy na hawaongopi na usiwaongopee
 
Colombia
 
Attachments

  • desktop-wallpaper-colombian-girls-at-world-cup-2014-colombian-women-thumbnail.jpg
    desktop-wallpaper-colombian-girls-at-world-cup-2014-colombian-women-thumbnail.jpg
    25.1 KB · Views: 21
Kule Colombia umasikini ni mwingi mno, ndo maana akili yao wote ni kuzamia Marekani. Lakini miji yao imejengeka sana tofauti na huku Bongo. Kaka ukifika Bogota jifanye huuji english ukiongea tu wanazani wewe ni wa Marekani, utaandamwa balaa. Rio de jainero (mto wa Januari) pale sio tu wahuni bali ni wahuni kwelikweli, huku Bongo vijana wanaotembeza bidhaa barabani kwenye magari kule ni wengi mno, ila ukifungua kioo imekula kwako wanakupora chochote na polisi hata hawajali
Kweli tembea uone, na ujifunze pia.
 
Back
Top Bottom