Nitarudi tena Colombia

ukitaka kurudi nistue twende wote
 
Kaka sio propanganda, wenyeji wetu walituambia kabisa sehemu ya kwenda na sehemu ambayo htutakiwi kwenda. Kule kuna wahuni kwelikweli. Ila wanaiabudu sana Marekani
Nchi za Latin America unatakiwa utembee na mwenyeji kwa usalama wako,ukiwa na mwenyeji hata ule mji wa wababe wa Brazil kama Cantagalo Favela utavisit.
 
Wanapenda pesa kama wa huku au kawaida,
 
Jamani naombeni kujua lifestyle la Jamaica,kuanzia shuleni(hv hawa majamaa huko wakogo busy na shule kweli),
mtaani wanavyoishi(kama minyanduo ya kimasihara,singo maza,vibinti under 18 vinavyoishi),
Polisi na raia na uharifu kwa ujum

Wanapenda pesa kama wa huku au kawaida,
Wanawake wote duniani kipaumbele ni fedha. Kule ukitaka mwamamke fedha mbele, lakini uzuri wao ni kwamba utaenjoy na hawaongopi na usiwaongopee
 
Kweli tembea uone, na ujifunze pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…