Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
National Museum, National Archives , Historical hotspots, Educations istitutions, mbali zaidi wenzetu wanaaajiri mpka watu wa degree ya historia kwenye vyama vya siasa ili kitunza tunu ya uhalisia wa knowledge juu ya historia yaoUlaya wakimaliza Degree ya historia huwa wanajiajiri wapi..
Hawa wanafiki wa kuteuliwa wanatwambia tujiajiriNational Museum, National Archives , Historical hotspots, Educations istitutions, mbali zaidi wenzetu wanaaajiri mpka watu wa degree ya historia kwenye vyama vya siasa ili kitunza tunu ya uhalisia wa knowledge juu ya historia yao
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Shida elimu imekuwa biashara kwa vyuo husika, chuo kinaanzisha tuu li degree fulani ili mradi tuu kipate wanafunzi ili wapate ada na michango ili waingize chao, ila hawana habari na wahitimu wao wakimaliza hapo watakuwa na future ya hiko wanachokisomea?Hawa wanafiki wa kuteuliwa wanatwambia tujiajiri
Hatuko serious na elimu yetu kabisa, kuanzia sisi wazazi mpaka serikali kwa ujumla.Nilikuwa naangalia course kwenye vyuo vikuu vya wenzetu Kenya aisee wana course heavy na zenye tija ambapo mwanafunzi akimaliza hawezi pata shida mtaani ila huku kwetu kuna mi course ya ajabu na useles ni kupoteza ada tu na muda wako ndio unakuta kijana anakaa miaka mitano mtaani haajiriki na hiyo degree yake kuitumia ni vigumu mwisho wa siku anakuwa bodaboda sasa unajiuliza hizo hela uliyotupa chuoni ungekuwa kununua pikipiki ngapi au gari kabisa upige uber.
Kwa uuguzi na Ukunga nadhani haupo sawa. Graduate wa uuguzi na Ukunga (degree) nchi nzima ambao hawapo kwenye mfumo rasmi wa ajira hawazidi 2000. Lakini wanaupiga mwingi katika hospital za private na vyuo vya kati kama wakufunzi. Wengine wanaenda NGOs kibao, wapo MDH, mkapa foundation, IHI na kambi za wakimbizi. Uhitaji wa wauguzi na wakunga nchini ni mkubwa kuliko waliopo (walioajiriwa + ambao hawajaajiriwa). Hospitals hazina nguvu kazi hadi wizara ya afya imekuja na muongozo wa kujitolea.Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.
1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia
Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.
Degree ya library Tz bhana
Uuguzi ni niniHivi ukunga sio Dili kumbe?? Si ndo nursing?
Hivi Mtu anakwenda kusoma degree ya history ili iwaje?!
Waliopo ni wengi kitaa, ndio mantik yakekaa hivyo hivyo ... HAKUNA KAZI WATU WANAAJIRIWA NA HIZO SHAHADA BOSS
Elimu ni haki ya mtu siyo chaguo la Serikali kwa watu.
Kila mtu ana haki kujielimsha bila kupangiwa na yeyote au Serikali
Hio no 2 umepotea Sana mtoa madaHizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.
1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia
Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.
Degree hawaajiriwi nowdaysHio no 2 umepotea Sana mtoa mada
Wenye degree wapo kibaao mtaani wanasotaWakunga wanahitajika Sana Sana mkuu
Pale kuna social workMuongo! Sosholoji haijawai kufundiswa chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kigamboni.