Nitashangaa sana kama aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya atateuliwa

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao.

Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
 
Unaweza kuwa uko sahii sana, lkn mpaka Sasa ukipima Tanzania kote wagombea wote waliopita kwa kura za maoni..70%yao hawajapita kwa haki...lkn usiende mbali sana hata mchakato wenyewe wa huu uchaguzi umeshavunja haki nyingi siyo za kidemokrasia,kisiasa,kibinadamu ni haki lukuki...na mwisho wote ni kwamba the whole process was corrupt.
 
Elezea alifanza nini ili tuone.
 
Siyo huko tu, inawezekana ni Nchi nzima wanalalamikia mchakato wa Kura za maoni
 
Sasa itakuwaje maana kila mgombea wenu ana matatizo,maana Polepole bado analalama huyo wa no.1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…