Nitashangaa TFF msipomchukulia hatua Manara

Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu siyo tusi!
 
Huyo Zahera asipo wakaza nyuma huu mwaka ni bahati yenu vyura
 
Tujikumbushe kdg Rayon walipokuja kucheza na Yanga walitembelewa na kocha wa Simba kipindi hiko Masons Djuma pamoja na Haruna Niyonzima.
Wenzetu wanaangaika kuondoa ubaguzi michezoni sisi tunaanza kujaribu kuuleta!!
 
Attachments

  • 8aa2a616feecccb72e1a29eb92146fe5.jpg
    8aa2a616feecccb72e1a29eb92146fe5.jpg
    58.1 KB · Views: 17
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na kuwaandaa mashabiki WA Simba kuwa wakifungwa tatizo ni Zahera
Kwa kauli hizi zinaweza kuleta ghasia kwenye soka na kuhatarisha maisha ya makocha wa kigeni
Wewe ndiyo bure kabisa, eti TFF wamchukulie Haji hatua, hivi wewe kwa akili yako unawaza kwa kutumia nini, unapenda ubabe sana watu wa type yako mkipewa madaraka huwa mnawashwa kuwaperekesha watu sana, tafsiri ya haji ni hii simple tu maana akili yako bili kulainishiwa hutaelewa, mechi hii muhimu tunataka simba watutoe kimasomaso kitaifa sasa basi mtu asiiingilie kutuvuruga au kutafuta mashabiki wa yanga kuwaleta uwanjni kuzomea ni ujuha wa hali ya juu hatutamvumilia mtu wa hivi, keaho ukaaji ni kuanzia kule upande wa kusini watu tunakaa hatuachi gap yani kwa ufupi Tanzania itahamia uwanja wa taifa... Sasa mwenye kimdomo kama chako tusikuone uwanjani hatutaki vurugu kaa kushoto

Happiness is a lifestyle
 
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na kuwaandaa mashabiki WA Simba kuwa wakifungwa tatizo ni Zahera
Kwa kauli hizi zinaweza kuleta ghasia kwenye soka na kuhatarisha maisha ya makocha wa kigeni
Umalapa ni maradhi hatari kuliko mtindio wa ubongo.
 
Yanga kama wabinti.. kutwa lawama tu
chezeni soka
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Manara alianza kumkashifu Zahera toka alipo anza kazi yanga....na sio zahera tu ilifika kipindi mpaka jina la zahera akaligeuza likawa la kike.....na fikra kabisa zahera amekasilika kwa kauli za manara....

Alafu manara ameshindwa kutambua Simba kucheza na Vital sio jambo la kitaifa kitaifa ni mechi yetu dhidi ya Uganda...

Huwezi ukasema mechi ya taifa zima wakati mashabiki wengi wa Yanga hawapo pamoja na simba.....HUU NI MPIRA yeye adeal na Timu yake tu.....

Mbona wenzetu nje unakuta mtu anaenda kwenye mechi kwa kumsapoti rafiki au ndugu yake na haileti shida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu siyo tusi ni sifa ya manara mlemavu wa ngozi na taahira mwenye utindio wa ubongo! Masudi Djuma na niyonzima walipokwenda kuwasalimia Lyon ya Rwanda ulisikia msemaji wa Yanga kawashambulia? Timu yenu inatatizo la kukosa marinda ndiyo maana mnaongea kishoga, yule mwingine alivyotekwa marinda yote walitatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani katukanwa MPUMBAVU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na kuwaandaa mashabiki WA Simba kuwa wakifungwa tatizo ni Zahera
Kwa kauli hizi zinaweza kuleta ghasia kwenye soka na kuhatarisha maisha ya makocha wa kigeni
HAYO MASWALI KAMUULIZE BI MKUBWA WAKO NYUMBANI ATAKUJIBU LEO TUNA KAZI YA KUIWAKILISHA NCHI TU
 
Back
Top Bottom