johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Upumbavu siyo tusi!Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??
Sent using Jamii Forums mobile app