wafanyabiashara wa Dar badala ya kwenda china kufuata bidhaa sasaiv wanaenda Kampala, yaan baada ya kuyumba kimtajiNa kila ukikumbuka biashara zilivyodorora, Mafrem yalivyofungwa kila mahali, TRA wanavyotupia kodi za ajabu na umati wa raia waliokuwa wanunuzi wa biashara hizo kukosa hela (uwezo) wa kununua tena biashara unajisikiaje kuhusu shaka na utimamu wake mkuu?
Sector binafsi imekuwa domant, vitisho,kodi isiyo na uiano, uhakiki kodi miaka ya nyuma,wengi wamepoteza ajira na ajira mpya chache. Wengi wanafanya unafiki bendera ccm, biashara kushuka wengi wamefilisika,madeni bank nk...wengi watainyima kura ccm.Umetumwa kupima upepo? Kamwambieni huyo kibwengo wenu kuwa HATUMTAKI. Na nawakilisha wafanyabiashara 90+% wadogo (SMEs) wa nchi hii.
Kashtaki, una haki hiyo. Huo ni uonevu wa wazi. 15 years back?Mimi ni victim wa hilo ninalosema hadi leo hii, lipo kwenye baraza la kodi, tunavutana!! Licha ya punguzo kubwa walilopunguza bado halikubariki!! Mwishowe imekuwa kama biashara 'sasa unasemaje unataka kulipa ngapi' 'mtu ana kuta ana deni eti la bilioni tatu!!! Hahaaa, kuna maneno aliyasema zitto japo ni makali ila ndio ukweli, GENGE LA WAPORAJI
Nazungumzia kipindi cha korona kwani mlizuiliwa kufanya biashara.Tena msitukumbushe machungu wafanyabiashara hatuwezi kumchagua huyo jamaa ametuumiza sana.
Muogope mungu walikuwa wanapitishia bandari bubu.wafanyabiashara wa Dar badala ya kwenda china kufuata bidhaa sasaiv wanaenda Kampala, yaan baada ya kuyumba kimtaji
Kwani wamekamatwa na shria au na rais wewe vipi! Zamani watu wenye pesa mliwasema kuwa hawtii sheria na hawafungwi kwa sababu wana pesa iweje leo unalalamika. Kwa akili zako watu wenye pesa ni waovu sana mfano: mfanyabiashara el chapo wewe unavyoonekana ungekuwa rais ungemwacha bila kujali madhara ya biashara yake.Nenda segerea utashangaa zaidi kukuta wafanyabiashara kule wakisota.ukimaliza urudi utuambie Kura za wafanyabiashara apewe Nani .
Inshu hapo sio kuziiliwa kufanya biashara, miaka mitano misingi ya uendeshaji biashara umeuawa, bila hata janga la corona, sembuse uongeze corona??!! Ni mfanyabiashara gani aliyepata hata faida kidogo kipindi cha corona?Nazungumzia kipindi cha korona kwani mlizuiliwa kufanya biashara.
Magufuli hakuzuia corona acha kumpa ujiko na sifa bure, Kilichosaidia corona Tanzania ni bidii ya watanzania kunywa Tangawizi Limau vitamini C kupiga Nyungu kwa Pamoja tena kwa bidii kubwa na uzuri Limau ni fresh na Tangawizi ni fresh zinapatikana Tanzania, hii ndiyo imeisaidia Tanzania siyo magufuli, acheni kumsifia uongo kwani kama siyo bidii binafsi za watanzania kungekuwa na maafa kama kenya na South AfricaKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri...