BOT imewapora pesa zao nyingi walizotumiwa toka nje ndiyo maana wengi wamehamishia pesa zao Uganda Zambia kenya ambapo Benk kuu za huko hazina mambo ya hovyo kama BOT, wengi wamebambikiwa kodi TRA wakapewa kesi za uhujumu uchumi na wengine wamefirisiwa hakuna mfanyabiashara mkubwa hata wa kawaida anataka kuisikia CCM, wanaichukia mnoWafanyabiashara wanahasira na mgombea kutoka ubeligiji ambaye anataka kuwaribia mfumo wao wa kufanya biashara
Hakuna mfanyabiashara anaipenda CCM hata mmoja wote wanataka CCM ifutwe kwenye ramani za siasa ya TanzaniaKama wafanyabiashara wangekuwa ndio wao pekee wanapiga kura, Jiwe kabla hata hajaamka, angekuwa kesha safirishwa Chato
nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine ziendelee.
Hakuna biashara iliyofungwa, lakini watanzania hawana shukrani wanasahau yote kisa mtu ambaye kwa ninavyomtazama mlengo wake si wa kimisimamo binafsi bali ya kuongozwa na anaowaamini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo. Tukipata kiongozi mzuri basi tumuache amalize awamu zote mbili.
BOT imewapora pesa nyingi walizotumiwa toka nje ya Nchi na walipojaribu kupiga kelele wakawatishia kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi utakatishaji fedha na mengineyo ya hovyo, Utawala huu umewatesa wafanyabiashara mno hata wale wamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni ndiyo wanamchukia magufuli kupita kiwango baada ya kuwa wameporwa pesa zao na BOT kwa njia haramu za kishetani wakati walikuwa na mikopo na mali zao kuuzwa na mabenkTena msitukumbushe machungu wafanyabiashara hatuwezi kumchagua huyo jamaa ametuumiza sana.
Uchumi haukui tena kwa sababu wafanyabiashara wote wakubwa hawaweki pesa zao Tanzania kwa hofu ya usumbufu wa BOT waliopewa Amri na mtukufu magufuli kuwasumbua wafanyabiashara wakubwaUchumi upi unaozungumzia? Tuanzie hapo.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Wanabodi Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha...www.jamiiforums.com
Hakuna mfanyabiashara mwenye Akili timamu anaweza kuipigia CCM kuraSector binafsi imekuwa domant, vitisho,kodi isiyo na uiano, uhakiki kodi miaka ya nyuma,wengi wamepoteza ajira na ajira mpya chache. Wengi wanafanya unafiki bendera ccm, biashara kushuka wengi wamefilisika,madeni bank nk...wengi watainyima kura ccm.
Mpiga dili ni CCM yenyewe sasa ndiyo maana wametafuna trilion 1.5 wakamtoa CAG kafara Ndungai akapiga dili bilion 12 akiwa India peke yake, wafanyabiashara wanataabika kuteseka tu kwa uonevu unyanyasaji wa mtukufu magufuli na watu wakeKila nikikumbuka miaka ya nyuma nilivyokuwa napata pesa nyingi kwenye mzunguko wa biashara zangu.halafu kuanzia 2016 tu mambo yamekuwa mabaya.sitaki hata kumsikia Magufuri.. Mimi sio mpiga dili wala nini.nafanya biashara zilezile za halali..
Kama wewe si mfanyabiashara bora ukae kimya,katika watu wenye uchungu na awamu ya tano basi ni wafanyabiashara ambao awamu hii wameteseka sana,awamu hii watu wamefirisika na kufirisiwa hovyo.Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri..
BOT imewapora pesa zao walizotumiwa toka nje huku wakiwatishia kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha, wafanyabiashara wa Tanzania wanaongoza kwa kumchukia Rais kuliko wafanyabiashara wote DunianiKama wewe si mfanya biashara bora ukae kimya,katika watu wenye uchungu na awamu ya tano basi ni wafanyabiashara ambao awamu hii wameteseka sana,awamu hii watu wamefirisika na kufirisiwa hovyo...
Wengine walipewa pesa tokea nje lakini BOT imewapora kwa njia haramu za kishetani, kwa kifupi utawala huu ni utawala Hatari kwa usitawi wa wafanyabiashara woteWafanyabiashara ninaowajua mimi wa type ya Kariakoo hawawezi kumchagua JPM wameshachoshwa. Wengi wao wapo hoi wanaomba amalize muda aondoke maisha yaendelee TRA kwao ni kama mtoa roho!!
Watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara hawataki kuisikia Serikali ya CCM ikiendelea kuwepo ikulu tenaWakulima, watumishi wa umma, wafanyabiashara, wavuvi, vyeti feki, nk wote watampigia
A good deed among of the worst deeds! Twende na LissuKila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri...
Unaishi bongo/Tz kweli au upo nchi jirani?Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri...