Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

wafanya biashara na wamachinga amewafilisi sana mzee ana gubu hataki kuona mtanzania anatajirika wawe tu level ya kuombaomba meko mwisho wake oct28 kwani amewapoteza ndugu zetu wengi na ni mbinafsi sana kwa masilahi yake
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli anastaili kukamilisha kipindi cha miaka 10, uongozi si wa kubadilisha kama nguo
Hizo kauli za uongozi si wa kubadilisha kama nguo ndiyo zinazotuweka njia panda kimaendeleo. Acheni kutisha watu na vikauli vyenu vya kipuuzi. Na si lazima kukamilisha miaka 10 kama umefanya mabaya tunakutoa tu
 
Biashara ziko hoi zinapumulia machine
 
Kwa hiyo Korona ndio iwafanye wafanya biashara wampe Magufuli kura,hivi leo wafanyabiashara wamesahau TRA inavyowakomoa,Hivi unajua wafanya biashara wangapi wamefikisiwa na huyo Magu,au kuputia TRA yaani usiongee kabisa wafanya biashara na hii serikali ya kijahili
 
Hahaha minyoo buana. Unafikiri kuna pesa za bure siku hizi. Ngoja cocochanel akuambie vizuri

Ila tupambane tutatoboa tuu

Ha ha haaaaaaa...
Mvivu wa class A huyo.. aka mdokozi..

Kweli kabisa penye nia pana njia.. ndio maana nawashauri humu waanze hata kama wengi.. walivyoanza na vitambulisho vya 20K kwa mwaka.. na sasa wamepanda wanafurahia maisha yao..
 
Wacha tuendelee kupambana na vitambulisho vya 20k
Vinatusaidia kupata hata mikopo😁
 
Uko sahihi mama D
Nchi karibu zoote zilizoendelea zimepitia maumivu tena makali kuliko haya tunayopitia sisi, ukifuatilia nchi nyingi kuna kizazi fulani kiliteseka hata wakafikia mafanikio waliyonayo

Hakuna serikali duniani itaweza kujiletea maendeleo bila kukusanya kodi kwa uhakika na kuweka mifumo thabiti ya kusimamia ukusanyaji kodi na kuziba mianya ya rushwa jambo ambalo kwa kiasi kikubwa serikali hii inajaribu kufanya
 
Wafanya biashara wengi wamekimbia wengine wamefilisiwa
Wengi wamenyang'anywa Mali zao
 
Kabisa mkuu Mjep 👍
 
Wacha tuendelee kupambana na vitambulisho vya 20k
Vinatusaidia kupata hata mikopo😁

Kabisa kabisa... bantu ni kutakiwa kupambana.. uvuke kiwango cha 20K.. uanze kupaaa na kuonana na maafisa wa kodi.. ulipe kwa raha zako.. huku biz inapaaaaa... cha 20K unanunulia fremu kuwa kumbukumbu ya mazuri ya awamu hii...
 
Watoto wa dada "wapwa" mnapeana tu moyo..mnadhani mtatamalaki milele eti!
 
Magufuri hajabadiri sheria za tra yeye ameamua kuzisimamia vyema
 
Wafanya biashara wengi wamefilisiwa awamu hii, ntashangaa wampe kura
 
Weni wanaolalamikia biashara kufa ni chadema. Awali walisema hao ni mafisadi leo wanasema ni wafanyabiashara na wananyanyaswa.

Hii mijitu haina akili. Pakikosewa wanaimba Sana. Pakirekebishwa wanalaumu Sana. Lipi jema?
 
Nitawashangaa sana wafanyabiashara na watumishi wa serikali wa kada mbalimbali watakaompigia kura mtu aliyewakandamiza kwa miaka mitano mfululizo
Sioni tatizo watumishi kumchagua Magu. Pamoja na kukosa nyongeza za mishahara, lakini amefanya vizuri kwenye maeneo ya malipo ya kupanda madaraja na uhamisho. Nina miaka karibu 30 kwenye utumishi, sijawahi kuona malipo mazuri na ya uhakika kama awamu hii.
 
Nilidhani mnajipya,kumbe mmeishiwa hoja!!!
Mnafunga kampeni kwa hoja nyepesi ivi!!!
 
Weni wanaolalamikia biashara kufa ni chadema. Awali walisema hao ni mafisadi leo wanasema ni wafanyabiashara na wananyanyaswa.

Hii mijitu haina akili. Pakikosewa wanaimba Sana. Pakirekebishwa wanalaumu Sana. Lipi jema?
Kujiunga na CHADEMA ni kama kucheza kamari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…