Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Umekuwa bichilata.Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi waliowatuma viongozi wa chadema waondoe miswada bungeni?
Tusiotaka maandamano tuna haki zetu pia za kulindwa na serikali tusibughudhiwe kwenye nchi yetu. Nitamsaidia yeyote atakaesema anaenda kuzuia maandamano hayo yasifanyike ili kuzuia usumbufu, ajali na wizi.
Ukumbike kuwa magufuli wa ccm ndiye aliyewaruhusu machinga kufanya biashara barabarani. Kuhusu Ngorongoro ukumbuke pia waarabu sio wanyama.Mfano, wapinzani wanatafuta kura kwa kupinga machinga wasiondolewe barabani na kwenye mitaro, wanapinga barabara kutanuliwa, wanapinga wamasai kuhamishiwa sehemu nyingine ili kupisha wanyama
Hii utawadanganya ccm wenzako. UKAWA ndio walichakachua rasimu ya Warioba? Ulitaka wakubaliane na ile takataka walioletewa na kina chenge? Ccm na chawa wao ni laana ktk taifa hili.Mfano, UKAWA ndio chanzo cha kutokuwa na katiba mpya wanayoidai leo
Aibu yako.... 😀 😀Wamepata nini? Si wame trend tu!! Ma jobless tu ndiyo huandamana
Eti unasemaje hapo... 😀 😀Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi waliowatuma viongozi wa chadema waondoe miswada bungeni?
Tusiotaka maandamano tuna haki zetu pia za kulindwa na serikali tusibughudhiwe kwenye nchi yetu. Nitamsaidia yeyote atakaesema anaenda kuzuia maandamano hayo yasifanyike ili kuzuia usumbufu, ajali na wizi.
na ww unaepinga maandamano aanda maandamano ueleze sababu za kupinga kwako!Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi waliowatuma viongozi wa chadema waondoe miswada bungeni?
Tusiotaka maandamano tuna haki zetu pia za kulindwa na serikali tusibughudhiwe kwenye nchi yetu. Nitamsaidia yeyote atakaesema anaenda kuzuia maandamano hayo yasifanyike ili kuzuia usumbufu, ajali na wizi.
Ni hoja zipi umezipeleka UN? maana hata Rwanda, Sudan, Somalia, DR Congo, Libya, Ukraine, Palestine na Myanmar ni wanachama wa UN pia. Mmeambia UN kuhusu kati yenu ni waunga juhudi za CCM baada ya uchaguzi? Je, chadema na waunga juhudi hawa hamuoni kama chaguzi kirudiwa ni upotevu na ubadhilifu wa fedha za wananchi kwa mabilioni? Na je, uliwaambia UN kwanini mlisusia uchaguzi wa 2020 na Sasa umeutambua na matokeo yake? Au maokoto (ruzuku) ndiyo sababu ya vyote hivyo?Soma tena ulichondika halafu jipige kifuani sema "mimi ni mvivu wa kufikiri na nimechagua upumbavu kama sehemu ya maisha" Nikwambie Tu kwamba Tanzania ni mwanachama wa UN na ni signatory member wa mambo anuwai au mikataba ya UN! kwahiyo Tanzania atapata taarifa ya mahitaji au matakwa ya maandamano ambayo hujayaainisha kupitia jumuiya ambayo yeye ni mwanachama. Shule ulienda kusomea ujinga?
Nitamsiliza vipi mtu ambaye watoto wake wako Amerika na Ulaya wanasoma na kuishi huko? Maana yake nini?Walau tukuulize ulishajipa muda kuwasikiliza ajenda itikadi na malengo yao kisiasa? Au kwakua unamchukia mtu huwezi hata kumsikiliza kwakua humpendi yeye hata yale anayotasema huyapendi by default. Be honest!
Huwezi kuzuia wetu wasiventilate (watoe upepo). Wakae kitako Sasa wasubiri majibu ya UN. Mental ventilation ni muhimu sana kwenye taifa, lakini haizuii serikali kutekeleza mipango yake. Vinginevyo kungekuwa hakuna serikali duniani. Mapunda wametembea kwa miguu umbali mrefu hadi wakazimia lakini watu walitembea kwa magari kwenye maandamano Yale. Mimi ni muumini wa vyama vingi (2) vinavyopokezana hatamu, lakini hicho Chama kingine bado sana kufikia huko. Ni vyama vya waunga juhudi. Hebu ona watu wa maana kabisa kama Dr. Slaa, Prof. Lipumba, Prof. wa wizara ya mipango Sasa, kafulila, lowassa, sumaye, Nasari, Mdee, Lamwai, nk wooote hawa Wana price tags, eti walikuwa upinzani kama nyie na wameenda kuunga juhudi. Mnajua ni hasara kiasi gani na maumivu kiasi gani mliwasababishia wapenda mageuzi nchini?Vipi ulifanikiwa kuyazuia
Yalikuwa maandamano ya kipuuzi, yalifanikiwa kufanyika kwasababu yalikuwa na tija kwa Rais Samia kimataifa. Tanzania inahesabika kama taifa la kidemokrasia kwa kupitia maandamano yenu, ñothing less nothing more.Vipi ulifanikiwa kuyazuia
Umebadili gia angani? Utetezi wa kijinga, kinyonge na WA kukiri kushindwa!!Yalikuwa maandamano ya kipuuzi, yalifanikiwa kufanyika kwasababu yalikuwa na tija kwa Rais Samia kimataifa. Tanzania inahesabika kama taifa la kidemokrasia kwa kupitia maandamano yenu, ñothing less nothing more.
Kama maandamano yangezuiwa yangevuma sana duniani kuliko yalivyoruhusiwa. Hayakuwa story popote kwakuwa dunia yote hata UN Iko Gaza, Ukraine, Yemen, Iran, urusi, Burkina Faso, DRC, Lebanon na kwingine. Haisikilizi watu waliovimbiwa na chakula na kulala kwenye vitanda vyao na wake zao kwa amani. Majimeli makubwa makubwa ya kitalii duniani ndiyo kwanza yanatia nanga tz (safe county). Tuache kudanganyana, Samia ana afadhali kuliko tulikotoka. Na tukitaka tuifahamu afadhali yake tumpe tena 5 hadi 2030 ambako hatagombea tena. Ataacha katiba mpya Bora zaidi kuliko tunazozitarajia.Umebadili gia angani? Utetezi wa kijinga, kinyonge na WA kukiri kushindwa!!
Nilijua tu kuwa na wewe ulikuwa miongoni mwa wazoa takataka mkiwa na RC chizi na punguani Albert Chalamila..
Kama maandamano yangezuiwa yangevuma sana duniani kuliko yalivyoruhusiwa. Hayakuwa story popote kwakuwa dunia yote hata UN Iko Gaza, Ukraine, Yemen, Iran, urusi, Burkina Faso, DRC, Lebanon na kwingine. Haisikilizi watu waliovimbiwa na chakula na kulala kwenye vitanda vyao na wake zao kwa amani. Majimeli makubwa makubwa ya kitalii duniani ndiyo kwanza yanatia nanga tz (safe county). Tuache kudanganyana, Samia ana afadhali kuliko tulikotoka. Na tukitaka tuifahamu afadhali yake tumpe tena 5 hadi 2030 ambako hatagombea tena. Ataacha katiba mpya Bora zaidi kuliko tunazozitarajia.
Ni zuzu tu ambae anakurupuka tu, akisema anakupiga panga atakupiga panga no matter what bila ya kukagua kwanza consequences zake. Mimi na wenzangu kwa weredi wetu wa mipango (planning, management and Evaluation) tulitafakari na kuona kuwa wanaoandamana tutawasaidia sana kama tutawazuia, tutawapa sababu ya kusema. Hebu ona walifanya maandamano lakini miswada haikutolewa bungeni na UN iko kimya.
Acha tantalila, jifunze kuwa na misimamo yako kama mwanaume na sio kutoa kauli za kishujaa huku ukitegemea nguvu ya dola. Ulipaswa kusimamia kauli yako na haki yako ya kwenda kuzuia maandamano.
Ni zuzu tu ambae anakurupuka tu, akisema anakupiga panga atakupiga panga no matter what. Mimi na wenzangu kwa weredi wetu wa mipango (planning, management and Evaluation) tulitafakari na kuona kuwa wanaoandamana tutawasaidia sana kama tutawazuia, tutawapa sababu ya kusema. Hebu ona walifanya maandamano lakini miswada haikutolewa bungeni na UN iko kimya.
Njia mwafaka ingekuwa kuwaacha waandamane ili tujue wanasema nini na nini na nini na nini na nini ili serikali ikifanyie kazi.