Nitashiriki uovu mwingine ila sio uovu wa kutoa mtu roho

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani.

Maana haujui kama umesamehewa ama namna gani.
 
Kunakitu unajaribu kushawishi hapa jamii isivichukulie hatua, kwa uelewa wangu nimeelewa ukiiba usamehewe maana unaweza kuomba msamaha na ukasamehewa. Kama mawazo yangu yapo sawa, hiyo ni mbaya achana nayo, watu hawana huruma hata kwa mambo madogo sana...
 
Sijamaanisha hivo mkuu mm nimefikiria tu kwa wale wamama walioshiriki kuua mtoto iringa je? Sasa wanajisikiaje?
 
Uwa nawaza sana wale wanaoteka, wanampeleka mtu msituni, na kutoa roho yake.
baada ya hapo uwa amani wanaipata kwel.
 
Back
Top Bottom