Nitasimama na Rais Samia hata ikibidi kufa kwa ajili ya kumlinda na kumtetea. Sitakubali Mtu amhujumu

Na utakufa kweli mbwa wewe.
 
Hiyo mibange uliyovuta ni ..............................
 
Katika watu kumi wa mwanzo wanaomhujumu wewe hukosekani,hivyo jitafakari kwani usemayo na uwazayo ni mambo mawili tofauti sana!
 
Hope utasimama naye zero distance, utasimamisha mnazi kama wa uwanjani pale bibo?
 
Wacha kujipa umuhimu ambao huna wewe kapuku, Samia anao ulinzi wa kumtosha na wapo wa kumjibia hoja zote wewe huna uwezo huo wewe ni chawa unayeishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…