Nitasimama na SIMBA yangu daima

Nitasimama na SIMBA yangu daima

Hapa ndipo kiwango chako cha ufahamu kilipofikia, pole sana kumbe hata ile mada hukuielewa kabisa na ikakuumiza kwa namna ya ajabu mno ! Kwahiyo kwa akili yako unadhani yanga itabaki hapo ilipo siku zote? [emoji23] kuifunga Mazembe ndio umeona mko vizuri sana?
Kasome hiki kitabu kitakusaidia mengiView attachment 2525779
Swallow your ego, hua unajifanya genius kwamba articles zangu zako ni ngumu kuelewa! andiko lako la jezi nzito ni jepesi sana hata mtoto wa darasa la IV anaweza digest, uliongea blah blah kibao leo yako wapi mmebaki kuomba Mungu na risala za marehemu, nlikwambia kile kitendo cha kupeleka jeneza uwanjani kina ashiria anguko ukashupaza shingo kikowapi sasa?
 
Kutoa kwenye
kwa mkapa hatoki mtu.
Sisi ndo wataalamu wa mechi za kimataifa.
Mpaka kwenye yatapita asee mambo yamebadilika sana[emoji23][emoji23]
Na bado huu ni mwanzo tu walisema wanataka kwenda Burundi hapa wanaonewa mda umewadia
 
Swallow your ego, hua unajifanya genius kwamba articles zangu zako ni ngumu kuelewa! andiko lako la jezi nzito ni jepesi sana hata mtoto wa darasa la IV anaweza digest, uliongea blah blah kibao leo yako wapi mmebaki kuomba Mungu na risala za marehemu, nlikwambia kile kitendo cha kupeleka jeneza uwanjani kina ashiria anguko ukashupaza shingo kikowapi sasa?
Kama ile article ilikuwa blah blah am sure 1000% ungeipotezea wala usingehangaika nayo mpaka sasa na kui retrieve kila yanga ilipofunga [emoji23]
Ile article was the perfect one ndio maana hata baadhi ya viongozi wenu yanga walinipongeza kwa kuwafungua akili na kuamua kubadilika.. Am sure hili ulikuwa hulijui na hasa sasa hutalikubali...
Kitu kikimgusa sana mtu hataacha kukitajataja hiyo ndio saikolojia ilivyo.. Kitu kikiwa hakina maana hata kukumbukwa hakiwezi kukumbukwa
 
Swallow your ego, hua unajifanya genius kwamba articles zangu zako ni ngumu kuelewa! andiko lako la jezi nzito ni jepesi sana hata mtoto wa darasa la IV anaweza digest, uliongea blah blah kibao leo yako wapi mmebaki kuomba Mungu na risala za marehemu, nlikwambia kile kitendo cha kupeleka jeneza uwanjani kina ashiria anguko ukashupaza shingo kikowapi sasa?
hua unajifanya genius....! hapa ndio umejivua nguo na kuonesha uhalisia wako wa ndani.. Kwamba you are too weak to bear challenges.. Na huwezi kujenga hoja binafsi bali kutafuta visingizio kama hivi..
Hiki ulichoandika huwa ni maneno ya washindwa[emoji1542][emoji1542][emoji1542] hua unajifanya genius..!
 
Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club .. Mimi si shabiki maandazi
SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na duniani kote.. Simba imekuwa role model kwa timu nyingi kwa mengi mazuri iliyoyafanya.. Ina mafanikio mengi kitaifa na kimataifa. Inaheshimika na kutambulika sana kuliko hata mpinzani wetu.. Ni mojawapo ya timu maarufu popote uendapo
Kwa sifa zote hizo
Kwa mafanikio yote hayo
Kwa ukongwe wote huo
Kwa umaarufu wote huo.. Nitaanzaje kuichukia timu yangu hii kwa changamoto ndogo ndogo za kupita?

Kwenye maisha kuna kupata na kuna kukosa
Kuna nyakati za mafanikio na kuna nyakati za maanguko
Kuna nyakati za furaha na kuna nyakati za huzuni pia

SIMBA tunapitia kipindi kigumu lakini si kama maadui zetu wanavyoaminisha watu mitandaoni.. Ni changamoto za muda hazitakuwepo milele.. Ni nyakati za nzige.. Tunazitafakari...hatukati tamaa tunapambana tutazishinda na kuwa imara zaidi.. Washindi zaidi wakubwa zaidi na zaidi

Soka lina matokeo matatu
Kushinda
Kushindwa
Kutoa suluhu
Kwasasa sisi ni washindwa wa muda.. Tunaachia nafasi za furaha kwa wengine wanaokua.. Ni muhimu kufanya hivi pia.. Huwezi kuwa mshindi daima .. Maisha yana pande mbili nasi kwasasa tuko upande wa pili

Acha kwasasa adui afurahi lakini hili nalo litapita kama mengine yote yalivyopita
Viva SIMBA.... Viva Forever.[emoji173]View attachment 2525426
Kwani nini kimetokea kaka?
 
Changamoto za kukosa ushindi tu hakuna kubwa
Lakini kaka kwa timu yako uliyonayo sasa binafsi sioni ajabu yoyote. Horoya na azam wana timu za kuchukua point kwako na wale raja wamekuzidi sana ubora labda kama ulikua na matarajio makubwa kushinda uhalisia
 
Ni mtazamo pia hata kama naweza nisikubaliane nao lakini nauheshimu[emoji1545]
 
Sio mbaya ukijitambua kuwa wewe ni simba.
JamiiForums-2017337500.jpg
 
hua unajifanya genius....! hapa ndio umejivua nguo na kuonesha uhalisia wako wa ndani.. Kwamba you are too weak to bear challenges.. Na huwezi kujenga hoja binafsi bali kutafuta visingizio kama hivi..
Hiki ulichoandika huwa ni maneno ya washindwa[emoji1542][emoji1542][emoji1542] hua unajifanya genius..!
Endelea kuomboleza
 
Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club .. Mimi si shabiki maandazi
SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na duniani kote.. Simba imekuwa role model kwa timu nyingi kwa mengi mazuri iliyoyafanya.. Ina mafanikio mengi kitaifa na kimataifa. Inaheshimika na kutambulika sana kuliko hata mpinzani wetu.. Ni mojawapo ya timu maarufu popote uendapo
Kwa sifa zote hizo
Kwa mafanikio yote hayo
Kwa ukongwe wote huo
Kwa umaarufu wote huo.. Nitaanzaje kuichukia timu yangu hii kwa changamoto ndogo ndogo za kupita?

Kwenye maisha kuna kupata na kuna kukosa
Kuna nyakati za mafanikio na kuna nyakati za maanguko
Kuna nyakati za furaha na kuna nyakati za huzuni pia

SIMBA tunapitia kipindi kigumu lakini si kama maadui zetu wanavyoaminisha watu mitandaoni.. Ni changamoto za muda hazitakuwepo milele.. Ni nyakati za nzige.. Tunazitafakari...hatukati tamaa tunapambana tutazishinda na kuwa imara zaidi.. Washindi zaidi wakubwa zaidi na zaidi

Soka lina matokeo matatu
Kushinda
Kushindwa
Kutoa suluhu
Kwasasa sisi ni washindwa wa muda.. Tunaachia nafasi za furaha kwa wengine wanaokua.. Ni muhimu kufanya hivi pia.. Huwezi kuwa mshindi daima .. Maisha yana pande mbili nasi kwasasa tuko upande wa pili

Acha kwasasa adui afurahi lakini hili nalo litapita kama mengine yote yalivyopita
Viva SIMBA.... Viva Forever.[emoji173]View attachment 2525426
Kwa kweli mnapitia machungu mengi mnooo.
Njoo huku juu kileleni Mkuu kuna kiupepo kizuri sana!
Lakini kumbuka huku ni Kwa wachache tu kama sisi hapa Wananchi.
Pole sana Mkuu
 
Naamini hakunaga furaha ya kudumu na huzuni ya kudumu.Nimeanza kuipenda na kuishabikia timu yangu ya simba tokea nikiwa na miaka minne 1985 leo hii niikache hapana na haitowezekana kamwe,mimi si shabiki andazi wala fata upepo
 
Kwa kweli mnapitia machungu mengi mnooo.
Njoo huku juu kileleni Mkuu kuna kiupepo kizuri sana!
Lakini kumbuka huku ni Kwa wachache tu kama sisi hapa Wananchi.
Pole sana Mkuu
Asante sana
 
Nilijitambua kuwa mimi ni SIMBA mwaka 1982, almost miaka 41 hivi iliyopita.. Ni shabiki kindakindaki wa SIMBA sports club .. Mimi si shabiki maandazi
SIMBA ni timu kubwa sana Tanzania, Afrika na duniani kote.. Simba imekuwa role model kwa timu nyingi kwa mengi mazuri iliyoyafanya.. Ina mafanikio mengi kitaifa na kimataifa. Inaheshimika na kutambulika sana kuliko hata mpinzani wetu.. Ni mojawapo ya timu maarufu popote uendapo
Kwa sifa zote hizo
Kwa mafanikio yote hayo
Kwa ukongwe wote huo
Kwa umaarufu wote huo.. Nitaanzaje kuichukia timu yangu hii kwa changamoto ndogo ndogo za kupita?

Kwenye maisha kuna kupata na kuna kukosa
Kuna nyakati za mafanikio na kuna nyakati za maanguko
Kuna nyakati za furaha na kuna nyakati za huzuni pia

SIMBA tunapitia kipindi kigumu lakini si kama maadui zetu wanavyoaminisha watu mitandaoni.. Ni changamoto za muda hazitakuwepo milele.. Ni nyakati za nzige.. Tunazitafakari...hatukati tamaa tunapambana tutazishinda na kuwa imara zaidi.. Washindi zaidi wakubwa zaidi na zaidi

Soka lina matokeo matatu
Kushinda
Kushindwa
Kutoa suluhu
Kwasasa sisi ni washindwa wa muda.. Tunaachia nafasi za furaha kwa wengine wanaokua.. Ni muhimu kufanya hivi pia.. Huwezi kuwa mshindi daima .. Maisha yana pande mbili nasi kwasasa tuko upande wa pili

Acha kwasasa adui afurahi lakini hili nalo litapita kama mengine yote yalivyopita
Viva SIMBA.... Viva Forever.[emoji173]View attachment 2525426
Ile Bil 20 iliwekwa ?
 
Back
Top Bottom