Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh ,Kiranga inawezekana labda !Tatizo unawapata haraka wanawake wa aina gani ? Usije kujitambia watu wenye low self esteem na wenye matatizo katika ndoa zao.
Mwenzio Coscated kiwahili nilianza kukijua nikiwa darasa la pili...mtabe ni msamiati kwangu ,kabla sijajibu.mie naomba nikupongeze kwa dhati coz naamini kila mtu ana 'competitive advantage' yake inayomuwezesha ku-perform better than others/competitors into a particular field. Najua mimi kwa mabinti sipo ila nina kipawa kingine. Je wewe unajua ni mtabe/mbabe wa kitu gani?, shule, biashara, gari, computer, siasa, sanaa, ushauri etc
Kit*mb* @#**&$##:A S-alert1:
Mwenzio Coscated kiwahili nilianza kukijua nikiwa darasa la pili...mtabe ni msamiati kwangu ,kabla sijajibu.
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!
Ah Cheusi Magala ...what a koinsidansi
kukutana na maharage ya Mbeya tu ni mkosi gani huu,hii nayo nai mada ngumu,ahsante na nadharia yako,nitakutafuta tujadil
Unamtishia nani sasa... au walevi wako ndo wa pale AF sana..?pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!
Ajuaye ni mimi,nimesoma huko enzi za mwalimu .Kuna bonde kwenye maporomoko ya bonde la ufa kulikuwa na simba simba wengi .wakati wa biashara ya waarabu watu wengi sana waliliwa na simba kwenye bonde lile,si unajua ezi hizo hakukuwa na nguo ila shanga tu kwenye nyeti,basi simba waliacha shanga tu kam authibitisho kuwa kuna mtu ameliwa! ndio maana wenyewe wakaita utiya (kukata)NSANGA(sHANGA) ili mkuezi eneo lililonipunguzia ujinga nimeejiita Utiyansanga ni jina langu la ukoo sasa,hata kazini najuilikana hivyo!