Nitasukuma walevi wangapi...!

Nitasukuma walevi wangapi...!

mie naomba nikupongeze kwa dhati coz naamini kila mtu ana 'competitive advantage' yake inayomuwezesha ku-perform better than others/competitors into a particular field. Najua mimi kwa mabinti sipo ila nina kipawa kingine. Je wewe unajua ni mtabe/mbabe wa kitu gani?, shule, biashara, gari, computer, siasa, sanaa, ushauri etc
 
Mwenzio Coscated kiwahili nilianza kukijua nikiwa darasa la pili...mtabe ni msamiati kwangu ,kabla sijajibu.
 
Hii mada haitofautiani na zile alizokuwa analeta BWABWA, If am wrong correct me.
 
mie nilidhani karne hii sifa ni kuwa great thinker, ah kula nondoz za uhakika au kuzichanga dola za obama kwa wingi, kumbe watu bd wanajisifia eti kutongoza na kumega mademu, mambo ya form 2 na 3 haya. duh kamanda umekuja kizamani mnooooooooooo.
 
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!

Sifa za kijinga
 
Ah Cheusi Magala ...what a koinsidansi
kukutana na maharage ya Mbeya tu ni mkosi gani huu,hii nayo nai mada ngumu,ahsante na nadharia yako,nitakutafuta tujadil

mwenzio mie sipatikani karahisi kama hao maharage ya mbeya uliyozoea!
hizi ni ngararimo utamaliza kuni na magadi!
 
jamani shule zimefungwa, topic kama hizi zitakuwa nyingi sasa, kha!
 
pENGINE ITAWASHANGAZA WATU,LAKINI NDIO UKWELI.
IMETOKEA MIMI KUWA NAWATONGOZA WANAWAKE NA KUKUBALI KIRAHISI MNO KIASI KWAMBA HUNITIA HOFU! KATIKA MAISHA MAISHA YANGU NI MTU MMOJA TU ALISHANIZINGUA NA MPKA LEO ANAJUTA KWA NINI ALIJICHELEWESHA,NAJIULIZA NI BAHATI GANI/? SIO KWAMBA NI KIWEMBE HAPANA!
HATA ANIKITANIA MSICHANA KIDOGO TU RESPONSE HUWA NI YA HARAKA
HUWA NAWAHURUMIA SANA WANAUME WANAOFUATILIA WASICHANA KWA MUDA MREFU.
KINACHONITISHA NI WANAWAKE KUNIFUATA2 ,NA WENGIWAO NI WAKE ZA WATU ,,,NAMSHUKURU MUNGU AMENIPA UGUMU KIASI FULANI LA SIVYO NISINGEKUWEPO!
HEBU WANAFALSAFA WA HUMU NDANI NISAIDIENI NAJUA PENYE WENGI......WNGINE MTANITUSI!
Unamtishia nani sasa... au walevi wako ndo wa pale AF sana..?
 
Ajuaye ni mimi,nimesoma huko enzi za mwalimu .Kuna bonde kwenye maporomoko ya bonde la ufa kulikuwa na simba simba wengi .wakati wa biashara ya waarabu watu wengi sana waliliwa na simba kwenye bonde lile,si unajua ezi hizo hakukuwa na nguo ila shanga tu kwenye nyeti,basi simba waliacha shanga tu kam authibitisho kuwa kuna mtu ameliwa! ndio maana wenyewe wakaita utiya (kukata)NSANGA(sHANGA) ili mkuezi eneo lililonipunguzia ujinga nimeejiita Utiyansanga ni jina langu la ukoo sasa,hata kazini najuilikana hivyo!

...connecting the dots... "kula na kuacha 'ushahidi!' "
Pole sana kaka. Madhara yake ni makubwa sana huko mbele ya safari, i.e mimba na watoto bila mpangilio, magonjwa mbali mbali, kufumaniwa na binti/mchumba au mke wa mtu nk.

Punguza kisha acha hiyo 'hobby' yako ya ujogoo! Utasifika kwa washongo, lakini inakupunguzia heshima katika jamii. Utapokuja kuoa, ndoa yako haitakuwa na amani kama utavyotarajia.
 
Back
Top Bottom