Nitasukuma walevi wangapi...!

mie naomba nikupongeze kwa dhati coz naamini kila mtu ana 'competitive advantage' yake inayomuwezesha ku-perform better than others/competitors into a particular field. Najua mimi kwa mabinti sipo ila nina kipawa kingine. Je wewe unajua ni mtabe/mbabe wa kitu gani?, shule, biashara, gari, computer, siasa, sanaa, ushauri etc
 
Mwenzio Coscated kiwahili nilianza kukijua nikiwa darasa la pili...mtabe ni msamiati kwangu ,kabla sijajibu.
 
Hii mada haitofautiani na zile alizokuwa analeta BWABWA, If am wrong correct me.
 
mie nilidhani karne hii sifa ni kuwa great thinker, ah kula nondoz za uhakika au kuzichanga dola za obama kwa wingi, kumbe watu bd wanajisifia eti kutongoza na kumega mademu, mambo ya form 2 na 3 haya. duh kamanda umekuja kizamani mnooooooooooo.
 

Sifa za kijinga
 
Ah Cheusi Magala ...what a koinsidansi
kukutana na maharage ya Mbeya tu ni mkosi gani huu,hii nayo nai mada ngumu,ahsante na nadharia yako,nitakutafuta tujadil

mwenzio mie sipatikani karahisi kama hao maharage ya mbeya uliyozoea!
hizi ni ngararimo utamaliza kuni na magadi!
 
jamani shule zimefungwa, topic kama hizi zitakuwa nyingi sasa, kha!
 
Unamtishia nani sasa... au walevi wako ndo wa pale AF sana..?
 

...connecting the dots... "kula na kuacha 'ushahidi!' "
Pole sana kaka. Madhara yake ni makubwa sana huko mbele ya safari, i.e mimba na watoto bila mpangilio, magonjwa mbali mbali, kufumaniwa na binti/mchumba au mke wa mtu nk.

Punguza kisha acha hiyo 'hobby' yako ya ujogoo! Utasifika kwa washongo, lakini inakupunguzia heshima katika jamii. Utapokuja kuoa, ndoa yako haitakuwa na amani kama utavyotarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…