Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Ilifeli vipi mkuu!!?Hii approach alishaijaribu mwendazake kwny taasisi mbalimbali na bado akafeli.
ILI tufike huko unakozungumzia lazima tuanzie Hapa!!Another Rubbish...
As if dunia nzima hakuna mifano ya nchi zinazo ongozwa vizuri za kujifunza?
Sweden wanateua wanajeshi?Norway wanateua wanajeshi....mawazo ya kizamani sana haya very expired mind
Ok , zipoo..Another Rubbish...
As if dunia nzima hakuna mifano ya nchi zinazo ongozwa vizuri za kujifunza?
Sweden wanateua wanajeshi?Norway wanateua wanajeshi....mawazo ya kizamani sana haya very expired mind
We umechemka,nenda bohari ya dawa(MSD) uliza madudu alivyofanya Meja General Mhidze mpaka SSH akamuondoa Kwa aibu.Acha,hao Jamaa wabaki na kazi zao za MedaniWakuu
KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika.
ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya kukabidhiwa kusimamia fedha za miradi ya Jamhuri.
Na kada yenye nidhamu hiyo ni wanajeshi pekee ambao wanauwezo wa kula kiapo hicho,nadhani sheria kali kama hii itaondoa kelele za ubadhirifu zinazoripotiwa na VYOMBO mbali mbali nchini!
Hili litatokea iwapo nikipewa FURSA ya kushika hatamu hapo Baadae kwa maslahi ya jamuhuri yetu!
Mungu IBARIKI nchi yetu Tanzania niipendayo Sana!
Alikula kiapo cha KIFO iwapo akihusika na HAYO!!?We umechemka,nenda bohari ya dawa(MSD) uliza madudu alivyofanya Meja General Mhidze mpaka SSH akamuondoa Kwa aibu.Acha,hao Jamaa wabaki na kazi zao za Medani
Purely "Wrong footing". Pitia upya makablasha yako, na kama hayatoshi hayo makablasha azima kwa Ndugu Paskali Mayalla anayo humu jamvini.Na kada yenye nidhamu hiyo ni wanajeshi pekee ambao wanauwezo wa kula kiapo hicho,nadhani sheria kali kama hii itaondoa kelele za ubadhirifu zinazoripotiwa na VYOMBO mbali mbali nchini!
Huku KWETU Bado Sana!!Dunia ishaondoka huko
Kusaini kuuawa hakumaanishi kuogopa kuuawa.Walisaini hati ya kuuawa
Sijasema kuongozwa kijeshi nimesema makatibu wakuu wa wizara!wawe wajeda waliokula kiapo cha KIFO KWA jamuhuri kuzuia ubadhirifu kwenye wizara ZAO!Hakuna nchi inaongozwa na wanajeshi ikafanikiwa. Hivi ulishawahi kaa na wanajeshi hao wenye vyeo vikubwa ukaona akili zao zilivyo?
Hata hivyo unaota
Akiuawa itakua fundisho KWA wengine ILI fedha za jamuhuri zi heshimiwe!Kusaini kuuawa hakumaanishi kuogopa kuuawa.
Kuna uwezekano yule ambaye hajasaini kawa muoga zaidi ya aliyesaini.
Nasema Kuna uwezekano sijasema nimedhibitisha, tafadhali.
Nimedhibitisha= nimethibitishaKusaini kuuawa hakumaanishi kuogopa kuuawa.
Kuna uwezekano yule ambaye hajasaini kawa muoga zaidi ya aliyesaini.
Nasema Kuna uwezekano sijasema nimedhibitisha, tafadhali.