Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mimi nitamshawishi Mzee Kilomoni na Bi Hindu watoe Hati kwa Mo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya ufundi ikiwakilishwa na bwana Steve wamesema game ya kwanza stars anashinda 2:1Ntatoa bil 1 kama watafunga ata goal 1 afcon
Hii itakushinda mzee baba. Goli moja tu? Sema mahala pa kukukabia ndio shida.Ntatoa bil 1 kama watafunga ata goal 1 afcon
Kila mchezaji nitamtafutia hii kitu...![]()
HongeraKila mchezaji nitamtafutia hii kitu...![]()
Hahah zile KIA pickup alizowaahidi alichikichia nazo.Aanze kuwapa zile Canter aliziwadhulumu mbumbumbu.
Ilikuwa ahadi hewa akijua hawafiki popote.Hahah zile KIA pickup alizowaahidi alichikichia nazo.
Mie nitatoa visheti na kalimati,wakirudi hawajafungwa LOL
Naona watu wanajitoka Sana, sasa na Mimi nitatoa kiasi hicho.
Mr mkiki.