Nitatoa million 800 kama TAIFA STARS watafika fainali AFCON 2019.

Nitatoa million 800 kama TAIFA STARS watafika fainali AFCON 2019.

Mimi naahidi mechi na Senegal wakifungwa bao chini ya bao 5 nawapa million 1 timu yote
 
Mimi naahidi mechi na Senegal wakifungwa bao chini ya bao 5 nawapa million 1 timu yote
 
Hiyo zipu ni aje Mkuu? 😋😋😋

Kila mchezaji nitamtafutia hii kitu...
dd5047822e24c97e17b48997445385e0-jpg.1070319
 
Naahidi kuwapa Taifa Stars viwanja vya sqr 1,600 kila mmoja Kigamboni kama wakichukua AFCON. Viwanja nn bana mbona DAB naye anagawa
 
Back
Top Bottom