Anaweza lakini itakuwa
siyo ajabu kwani kila mtu anapitisha fagio lake.... huyu demu anataka
pesa tu.... ndiyo maana nikasema kama siri yenyewe ndiyo hiyo haitakuwa
siri bali ataendelea kutuongezea idadi ya watu alilala nao Ila akisema
alitumwa sembe itakuwa siri.... kulala na uwoya si ishu
kubwaaaaa!
mhh! ishaanza kuvuja na hii siri inamtafuna kweli jamaa that's why hata ubunge hawezi kugombea tena jimboni kwao japo anakubalika sana
mhh! ishaanza kuvuja na hii siri inamtafuna kweli jamaa that's why hata ubunge hawezi kugombea tena jimboni kwao japo anakubalika sana
acha ujinga wewe!!! kwani mtu kutoa taarifa kama hii ndo aitwe hivyo ulivyo muita!!?
jamii ina haki ya kupata taarifa zoote, ikiwemo za hawa wanaoitwa kioo cha jamii!!
Irene ni mzuri jamani tukubali tu! I'm talking about her outlook, she's cute!
The truth shall set u free.
Huyo mume gani wa kupokea tope lote lile,kila siku wahuni wanamchumisha mboga kwenye lodge za uchochoroni mara mombasa mara chuga mara pugu...papuch imejaa mchanga ile...
Madame B umethubutu.....jipange,ila ukitaka Etente tupo.
every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi
every day na mikanda yake ya uwongo uwongo eti ujasiriamali hata asemi mtaji kaupata wapi
Eti hawa ndio vioo vya jamii....!!
kumbe jamaa ni gaidi hv halafu ni mlokole
Tena wameanzisha vipindi vya TV kuifunda jamii kuhusu maadili mema!
da watu magaidi aliwakosea nin?
Katavi mie nilishaisikiaga lakin sikujua mzee wa Bamaga anahusika.......Heaven on earth yaani hii habari aliyoshusha Madame B imeniacha mdomo wazi, jamaa mbona ni mlokole?
Katavi mie nilishaisikiaga lakin sikujua mzee wa Bamaga anahusika.......
kumla kiboga wamle......pesa zake wazitake lol!!!!!baba kaona shida ya nini
kajiua kukwepa fedheha zaidi........
Erick kajivika ngozi ya kondoo kumbe chui mla watu........
Mimi hii sijawahi kuisikia ndio kwanza nimeisikia hapa.
Pesa hizo....kujifanya anawahubiria watu mambo ya ujasiriamali........
si aseme na yeye huu ujasiria mali wake!!!!!!!!
we unadhani kisa cha yule baba kujiua ni nini!!!!!