Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Anaweza lakini itakuwa
siyo ajabu kwani kila mtu anapitisha fagio lake.... huyu demu anataka
pesa tu.... ndiyo maana nikasema kama siri yenyewe ndiyo hiyo haitakuwa
siri bali ataendelea kutuongezea idadi ya watu alilala nao Ila akisema
alitumwa sembe itakuwa siri.... kulala na uwoya si ishu
kubwaaaaa!
mmh kwani wakati wa kupitisha hayo mafagio wewe hua unashikilia miguu?