Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Status
Not open for further replies.
Anaweza lakini itakuwa
siyo ajabu kwani kila mtu anapitisha fagio lake.... huyu demu anataka
pesa tu.... ndiyo maana nikasema kama siri yenyewe ndiyo hiyo haitakuwa
siri bali ataendelea kutuongezea idadi ya watu alilala nao Ila akisema
alitumwa sembe itakuwa siri.... kulala na uwoya si ishu
kubwaaaaa!

mmh kwani wakati wa kupitisha hayo mafagio wewe hua unashikilia miguu?
 
Irene ni mzuri jamani tukubali tu! I'm talking about her outlook, she's cute!

The truth shall set u free.
 
mhh! ishaanza kuvuja na hii siri inamtafuna kweli jamaa that's why hata ubunge hawezi kugombea tena jimboni kwao japo anakubalika sana

shgongo ndo walimtgo au baba ake mange? hebu dare to talk freely!
 
acha ujinga wewe!!! kwani mtu kutoa taarifa kama hii ndo aitwe hivyo ulivyo muita!!?

jamii ina haki ya kupata taarifa zoote, ikiwemo za hawa wanaoitwa kioo cha jamii!!

Huyo billy ni kuzi tu. Angecomment nini pasingekuwa na hii taarifa?
 
Irene ni mzuri jamani tukubali tu! I'm talking about her outlook, she's cute!

The truth shall set u free.

ni kweli ni mzuri!!

lakini mbona uzuri wake haukusaidia chochote katika kutunza ndoa yake?
 
Huyo mume gani wa kupokea tope lote lile,kila siku wahuni wanamchumisha mboga kwenye lodge za uchochoroni mara mombasa mara chuga mara pugu...papuch imejaa mchanga ile...

hahaa..!!!

lakini mkuu kumbuka ile kitu haina expiring date..

viwango vipo kila wakati...

basi tu mwanamke ndio gube gube..!!!
 
Heaven on earth yaani hii habari aliyoshusha Madame B imeniacha mdomo wazi, jamaa mbona ni mlokole?
Katavi mie nilishaisikiaga lakin sikujua mzee wa Bamaga anahusika.......

kumla kiboga wamle......pesa zake wazitake lol!!!!!baba kaona shida ya nini

kajiua kukwepa fedheha zaidi........

Erick kajivika ngozi ya kondoo kumbe chui mla watu........
 
Last edited by a moderator:
Katavi mie nilishaisikiaga lakin sikujua mzee wa Bamaga anahusika.......

kumla kiboga wamle......pesa zake wazitake lol!!!!!baba kaona shida ya nini

kajiua kukwepa fedheha zaidi........

Erick kajivika ngozi ya kondoo kumbe chui mla watu........

Mimi hii sijawahi kuisikia ndio kwanza nimeisikia hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom