S shingwengwe JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 1,152 Reaction score 125 Mar 1, 2014 #21 Mandla Jr. said: Hivi huyu Joseph Selasini si ni Mbunge wa Rombo kupitia chadema??? Click to expand... ulitaka awe mbunge wa ukoo wenu???
Mandla Jr. said: Hivi huyu Joseph Selasini si ni Mbunge wa Rombo kupitia chadema??? Click to expand... ulitaka awe mbunge wa ukoo wenu???
S shingwengwe JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 1,152 Reaction score 125 Mar 1, 2014 #22 Mandla Jr. said: CCM sio waoga kama Lema!!! Click to expand... wewe si ndiye muanzisha sred??? posho za buk 7 zitawawehusha!!!
Mandla Jr. said: CCM sio waoga kama Lema!!! Click to expand... wewe si ndiye muanzisha sred??? posho za buk 7 zitawawehusha!!!
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,507 Mar 1, 2014 #23 Hahaha naona amegundua kosaaa amekimbia
kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,892 Reaction score 7,780 Mar 1, 2014 #24 Mashaxizo said: Mkuu mbona kama umechanganya hapo? CCM wanataka kura za wazi na sio kura za siri!!!! Au mimi ndie nnaejichanganya? Click to expand... Unajua hii kitu wenyewe inawachanganya. Kila kundi halina uhakika kama siri au wazi ipi itakua na manufaa kwao!
Mashaxizo said: Mkuu mbona kama umechanganya hapo? CCM wanataka kura za wazi na sio kura za siri!!!! Au mimi ndie nnaejichanganya? Click to expand... Unajua hii kitu wenyewe inawachanganya. Kila kundi halina uhakika kama siri au wazi ipi itakua na manufaa kwao!