shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Hivi huyu Joseph Selasini si ni Mbunge wa Rombo kupitia chadema???
ulitaka awe mbunge wa ukoo wenu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Joseph Selasini si ni Mbunge wa Rombo kupitia chadema???
CCM sio waoga kama Lema!!!
Unajua hii kitu wenyewe inawachanganya. Kila kundi halina uhakika kama siri au wazi ipi itakua na manufaa kwao!Mkuu mbona kama umechanganya hapo?
CCM wanataka kura za wazi na sio kura za siri!!!!
Au mimi ndie nnaejichanganya?