‘Nitatoka bungeni CCM wakipitisha kura ya siri’

‘Nitatoka bungeni CCM wakipitisha kura ya siri’

Hahaha naona amegundua kosaaa amekimbia
 
Mkuu mbona kama umechanganya hapo?
CCM wanataka kura za wazi na sio kura za siri!!!!
Au mimi ndie nnaejichanganya?
Unajua hii kitu wenyewe inawachanganya. Kila kundi halina uhakika kama siri au wazi ipi itakua na manufaa kwao!
 
Back
Top Bottom