King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Tanzania ni nchi maskini baada ya miaka 60+ ya uhuru kila kona umaskini umetamalaki au ni hili hulioniUmaskini na approval za wazungu ni wewe na wajinga wenzako wasiojielewa
Kweli nakuunga mkono, ujenzi wa barabara na madaraja hauhitaji rockect science au advanced engineering...ni vifaa na pesaTunatakiwa kufanya yafuatayo ili tupate maendeleo endelevu;
1. Kujenga barabara na miundombinu mingine yetu Wenyewe. Tuwezeshe vijana wetu wafanye hivyo na wakajenge nchi nyingine (tusitegemee wachina na wengine).
1. Tujenge viwanda mama na vidogo vyetu wenyewe kwa kuwezesha watu wetu (wasomi wa kutosha tunao, ukizingatia information technology).
Mengine yote yatakuja kama matokeo.
Tuachane na usomi wa hadithi za kuabudu wageni kutoka ng'ambo.
Hivyo viwanda vinahitaji kuendeshwa kwa gharama nafuu ili products ziuzike kwa bei nafuu. China anazalisha almost 10,000 TWh, the highest production of electricity in the world by far. Ndio maana anaweza kuuza kwa bei ambayo hata wewe u ashangaa anapataje faida.Tunatakiwa kufanya yafuatayo ili tupate maendeleo endelevu;
1. Kujenga barabara na miundombinu mingine yetu Wenyewe. Tuwezeshe vijana wetu wafanye hivyo na wakajenge nchi nyingine (tusitegemee wachina na wengine).
1. Tujenge viwanda mama na vidogo vyetu wenyewe kwa kuwezesha watu wetu (wasomi wa kutosha tunao, ukizingatia information technology).
Mengine yote yatakuja kama matokeo.
Tuachane na usomi wa hadithi za kuabudu wageni kutoka ng'ambo.
Tunataka umeme ushuke bei, haya yalikuwaa maono ya JPM, akashusha gharama za kunganishwa hadi 27k. He was visionary, bila umeme nafuu hata ujemge viwanda laki, ni bure tu.Kweli nakuunga mkono, ujenzi wa barabara na madaraja hauhitaji rockect science au advanced engineering...ni vifaa na pesa
Tunatupa nje lots of money ilhali tunakundi kubwa mno la majobless
Hili nililiongelea kwenye huu uzi la ma-enginer wazawa kupewa support na kuwezeshwaKweli nakuunga mkono, ujenzi wa barabara na madaraja hauhitaji rockect science au advanced engineering...ni vifaa na pesa
Tunatupa nje lots of money ilhali tunakundi kubwa mno la majobless
Tungekuwa na umeme mwingi hata bei kwenye treni za umeme zingekuwa chini sanaTunataka umeme ushuke bei, haya yalikuwaa maono ya JPM, akashusha gharama za kunganishwa hadi 27k. He was visionary, bila umeme nafuu hata ujemge viwanda laki, ni bure tu.
Maendeleo endelevu yanaanzia kwenye misingi.Hivyo viwanda vinahitaji kuendeshwa kwa gharama nafuu ili products ziuzike kwa bei nafuu. China anazalisha almost 10,000 TWh, the highest production of electricity in the world by far. Ndio maana anaweza kuuza kwa bei ambayo hata wewe u ashangaa anapataje faida.
Hatuwezi kukimbia ukweli kuwa bei ya unit ya umeme bongo iko juu sana, 357 per unit VAT inclusive, 292 per unit VAT exclusive....huu ni umeme wa majumbani, hatujui wa viwandani ni bei gani. Bila kushusha hizi gharama hata uwe na viwanda laki moja ni bure tu.
Miradi mingi sana tunaweza kufanya ila vitisho kutoka kwa wazungu na madalali wao hapa Tanzania ndo changamoto na kikwazoMaendeleo endelevu yanaanzia kwenye misingi.
Kwanza kabisa lazima akili za viongozi hadi wananchi wa kawaida zibadilike.
Kushuka kwa umeme kutaendana na uwezo wa kufanya mambo mengi yahusuyo uzalishaji na usambazaji wenyewe. Ukitegemea makampuni ya kigeni yafunge mitambo, yajenge njia za usambazaji na kufanya ukarabati, itakuwa not kushusha bei.
Tunatakiwa kuwa na mafundi wengi kuliko walinzi, wanunuzi/wagavi, watunza fedha, kumbukumbu na hesabu.
"Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator"! Joto utaliunganishaje na genereta! Fafanua ila naona kama umeshindwa kabla ya kuanza.Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
- Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company
- Kuhakikisha bomba la gesi linatandwaza nchi nzima hii inawezekana kabisa
- Kuhakikisha gas turbines za kuzalisha umeme zinamilikiwa na nchi
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa na vitisho sana hasa linapokuja swala la sisi kama nchi kutumia rasilimali zetu, yaani tumeaminishwa kwa asilimia mia moja kwamba hatuwezi na mbaya zaidi wanaoshadadia ni waafrika wenzetu nikuambie kitu hakuna hata siku moja tutaambiwa tunaweza
Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
- Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.
- Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali
Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu mbalimbali kama wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
- Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
- Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
- Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)
Megawatts laki 2 zinazalishwaje????
πππππ
Tukiweza install gas turbines 2000 (large turbines) zenye uwezo wa kuzalisha megawatts 100 umeme kila moja jumla ni megawatts laki 2 na hizi gas turbines zitakuwa kila mkoa na kila wilaya na hakutakuwa na mfumo wa umeme wa grid ya Taifa kama ulio wa sasa, kwa hiyo kila ukanda utakuwa na mfumo wake wa grid- kanda ya kaskazini utakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya ziwa kutakuwa na grid yake ya umeme, kanda ya kati, kanda ya magharibi, n.k
Huu mradi tuna-ufinance vip kama nchi sababu nilisema ili uwe na faida unatakiwa umilikiwe na nchi
Tukiweza kuzalisha umeme mwingi basi kama nchi itakuwa ni rahisi kuvutia wawekezaji
- Kupitia kodi za watanzania kutakua na mpango mkakati wa kuraise Trillion 5 hii inawezekana kwa kuzuia matumizi yasiyo yalazima na kuzuia mianya ya rushwa
- Kukopa kwa nchi zetu hizi mikopo imekua na picha mbaya sababu mingi inakua haina uwazi imetumikaje yaani haifanyiwi auditing nikiwa Rais mokopo itakua inafanyiwa auditing na report wananchi watakuwa wanasomewa ili kujua imetumikaje-kwa hiyo kupitia mikopo ni njia mojawapo ya kufinance huu uwekezaji mkubwa wa kuzalisha umeme
Point ni kwamba gesi asilia inazalisha umeme hayo ya technical nayajua ila haina haja kuyaongelea sana"Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator"! Joto utaliunganishaje na genereta! Fafanua ila naona kama umeshindwa kabla ya kuanza.
Bila kuyaongelea tutakuamini vipi! Unaniambia utaunganisha joto na jenereta? Haiingii akilini, yaani unakuwa na mtambo wa kutengeneza joto kisha hilo joto unaliingiza kwenye jenereta!Point ni kwamba gesi asilia inazalisha umeme hayo ya technical nayajua ila haina haja kuyaongelea sana
MAjority ya watanzania wanataka kuona umeme unazalishwa kwa wingi na bei inashukaBila kuyaongelea tutakuamini vipi! Unaniambia utaunganisha joto na jenereta? Haiingii akilini, yaani unakuwa na mtambo wa kutengeneza joto kisha hilo joto unaliingiza kwenye jenereta!