Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
- Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto
- Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k
- Watafundishwa wawe na malengo wakubwa sababu wengi wao wana-malengo madogo