Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine