Uchaguzi 2020 Nitaunga mkono ilani itakayoondoa riba kwenye mikopo ya elimu ya juu!

Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.

Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.

Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?

Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.

Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Kelele nyingi kumbe kapuku wa mwisho

Mwanaume unakopa shame on you

Unakopa tena 14 million inakusaidia kitu gani hiyo

Kabla ya kukopa muwe mnauliza watalaamu

Matajiri wanaongezea mtaji usiyumbe ,wewe mpuuzi unakarabati gari
 
Mbona mapesa uliyo kwapua cdm hurudishi?
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.

Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.

Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?

Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.

Magufuli anaweza sijui vyama vingine
 
Huyo jamaa analazimisha teuzi kwa nguvu zake zote
Akili yako ya hovyo na uanfiki! Unisamehe. Unajua fika chanzo cha upuuzi wote huu, unajua nani kaleta balaa hili, unamshabikia kama huna akli timamu, leo unakuja hapa kuleta matope!
 
Alafu mtu anakuja kututonesha vidonda kisa kutafuta teuzi
Shida zote hizi zimeletwa na ccm hasa hii ya Jiwe! Akabadili sheria makato kuwa 15% badala ya 8% iliyokubaliwa wakati wa kusaini mikataba! Ccm ndiye adui wa wanyonge......
 
Tangu Uhuru chini ya CCM tumeona ndoto za vijana zinavyotimia,Ajira nje nje,vijana wengi wanafanya Biashara baada ya kukopeshwa bila masharti. Kazi kweli kweli
Kwakuwa hawana akili watakenua tu
 
Anatafuta kiki kama LIJUALIKALI
Huna lolote ndugu. Naona unatapatapa sana.
Sote tunajua na wewe unajua wazi kabisa, ilani ya CHADEMA ya 2015, sera za CHADEMA na msimamo wa CHADEMA mpaka leo hii ni kuhakikisha hakuna tena kulipa hata senti tano mtanzania yoyote aliyesomeshwa kwa pesa za mkopo wa serikali. Na kila mtanzania atasomeshwa bure mpaka chuo kikuu. Sasa anzia hapo ndugu.
 
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.

Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.

Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?

Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.

Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Chadema ilipokuwa chama dola ndo waliwekaa hiyo riba

Huyu Mbowe hafai kabisa yeye ndo alishauri uwepo na riba na kuongezwa asilimia 15 za makato katika mkopo ya elimu ya juu
 
Back
Top Bottom