Uchaguzi 2020 Nitaunga mkono ilani itakayoondoa riba kwenye mikopo ya elimu ya juu!

Uchaguzi 2020 Nitaunga mkono ilani itakayoondoa riba kwenye mikopo ya elimu ya juu!

Shida zote hizi zimeletwa na ccm hasa hii ya Jiwe! Akabadili sheria makato kuwa 15% badala ya 8% iliyokubaliwa wakati wa kusaini mikataba! Ccm ndiye adui wa wanyonge......
Bora ingekuwa hiyo asilimia 15% pekee. Kuna kitu wanaita retention fee, kila siku ibadilika badilika kuzingatia thamani ya fedha. Kwa kifupi kama ni mtumishi, unaweza kukatwa hadi saraly slip ikaonyesha imemaliza

Mara paap unaitwa na afisa utumishi anakukabidhi deni jipya toka hazina lililozalishwa na retention fee

Naongea hivyo kwa ushahidi. Kuna jamaa yangu mwezi wa kumi mwaka Jana deni liliisha, mwezi wa 12 akaitwa utumishi na kupewa statement mpya ya kama million mbili na ushenzi hivi. Kuhoji, akaambiwa wao hawana maelezo akaulize bodi, kwenda bodi wakamwambia ni deni halali kabisaaa kwasababu ni fee ya kulinda thamani ya pesa

Hapa anasuniri iishie aone kama kuna retention fee nyingine itakayozaliwa kulinda thamani ya hiyo million 2 na ushenzi iliyoongezeka
 
Back
Top Bottom