Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 648
- 1,485
Maskini chadema kila anayetoka anakuwa adui yenu mtapigana na kushindwa kila sikuAkili yako ya hovyo na uanfiki! Unisamehe. Unajua fika chanzo cha upuuzi wote huu, unajua nani kaleta balaa hili, unamshabikia kama huna akli timamu, leo unakuja hapa kuleta matope!
Makubaliano hufanyika pwani Mkuu baharini ni kuvua tu!Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Tangu Uhuru chini ya CCM tumeona ndoto za vijana zinavyotimia,Ajira nje nje,vijana wengi wanafanya Biashara baada ya kukopeshwa bila masharti. Kazi kweli kweliCCM ndio inaweza kuwasaidia vijana kufikia ndoto zao kwingine ni zero
Haya ndo mambo ya msingi kuletwa na watu wanaojielewa sio kila siku Mbowe utafikir anawagongea wake zenu...pumbaf zenuMimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Sasa kama anaweza si afute,anasubiri nini sasa.Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Kwani waliopandisha hilo deni la mtoa mada ni ACT Wazalendo au CCM? Waliopandisha makato ya Loan's board kutoka 8% hadi 15% ni CHADEMA au CCM? unapopost uwe unatumia akili.CCM ndio inaweza kuwasaidia vijana kufikia ndoto zao kwingine ni zero
Magufuli anaweza wakati ndiye aliyekukazia kwenye sheria? Haya endelea kuabuduMimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
WANATUTESA SANAMimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Huna lolote ndugu. Naona unatapatapa sana.Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Naunga mkono hoja.Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.
Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki kwa kuwa ilikuwa inadaiwa milioni 3.7 baada ya kufutwa tu niliirekebisha mpaka sasa naitumia nalipa kodi kwenye mafuta.
Hata walipofuta riba kwenye kodi za biashara watu walilipa. Kwanini hii ya mikopo ya bodi isifutiwe riba?
Tufutiwe riba ya hii mikopo ili tuweze kulipa. Na serikali itakusanya zaidi.
Magufuli anaweza sijui vyama vingine
Wakati mnafoji dokumenti ili muonekane ni watoto yatima ili mpate asilimia mia hamkujua kuwa kuna kulipa?Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita.