Uchaguzi 2020 Nitaunga mkono ilani itakayoondoa riba kwenye mikopo ya elimu ya juu!

Kelele nyingi kumbe kapuku wa mwisho

Mwanaume unakopa shame on you

Unakopa tena 14 million inakusaidia kitu gani hiyo

Kabla ya kukopa muwe mnauliza watalaamu

Matajiri wanaongezea mtaji usiyumbe ,wewe mpuuzi unakarabati gari
 
Mbona mapesa uliyo kwapua cdm hurudishi?
 
Huyo jamaa analazimisha teuzi kwa nguvu zake zote
Akili yako ya hovyo na uanfiki! Unisamehe. Unajua fika chanzo cha upuuzi wote huu, unajua nani kaleta balaa hili, unamshabikia kama huna akli timamu, leo unakuja hapa kuleta matope!
 
Alafu mtu anakuja kututonesha vidonda kisa kutafuta teuzi
Shida zote hizi zimeletwa na ccm hasa hii ya Jiwe! Akabadili sheria makato kuwa 15% badala ya 8% iliyokubaliwa wakati wa kusaini mikataba! Ccm ndiye adui wa wanyonge......
 
Tangu Uhuru chini ya CCM tumeona ndoto za vijana zinavyotimia,Ajira nje nje,vijana wengi wanafanya Biashara baada ya kukopeshwa bila masharti. Kazi kweli kweli
Kwakuwa hawana akili watakenua tu
 
Mkuu bado unaamini vitu vinaitwa ilani?

Zimeahapitaga ilani nyingi kwenye chaguzi za kila baada ya miaka mitano,but things have never turned positive...
 
Anatafuta kiki kama LIJUALIKALI
 
Chadema ilipokuwa chama dola ndo waliwekaa hiyo riba

Huyu Mbowe hafai kabisa yeye ndo alishauri uwepo na riba na kuongezwa asilimia 15 za makato katika mkopo ya elimu ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…