Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Nilikua na hii mind set nikikosa pesa nahangaka kama mbwa koko, ilinifanya nikaingia kwenye madeni mengi sana.
Sa hivi na relax mradi niwe na mahitaji muhimu basi!
Una relax kwavile mahitaji muhimu unapata, ukiyakosa hayo utarudi mfumo wa zamani
 
Ukikosa kabisa utajiua au utajiuza?
 
Nilikua na hii mind set nikikosa pesa nahangaka kama mbwa koko, ilinifanya nikaingia kwenye madeni mengi sana.
Sa hivi na relax mradi niwe na mahitaji muhimu basi!
Mkuu hapa umeongea point sana hii pia ili nikutaga nilikuwa mtu wamisifa kugawa offer sana nakaingia kwenye madeni ili niweze kumaintain ila now najiangalia nikiwa na mahitaji yangu muhimu na pesa iwe kidogo sana bas sijipi strees kwenda speed kiivyo kama deal bado najua bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…