Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Haya ni maneno ya mtu aliejisahau,anaepata visenti hapa na pale ana uhakika wa kula na kulala. Siku mirija ikikata ndio utajua kumbe unaweza kuishi bila pesa.
 
Haya ni maneno ya mtu aliejisahau,anaepata visenti hapa na pale ana uhakika wa kula na kulala. Siku mirija ikikata ndio utajua kumbe unaweza kuishi bila pesa.
Umeishia kusoma Heading tuu,
 


Salute
 
Dini ndiyo chanzo cha umaskini wa wengi

Eti usiipende dunia 😀😀😀 , sikieni nyie wachungaji dunia ni hela na hela ni dunia habari za ukifa utaziacha bora nife nikiwa na pesa

Pitasi....
 
Binafsi, PESA NYINGI NI KILA KITU 100%
Angalia sahv kuna vijana wadogo wamebarikiwa kupata pesa nyingi wakiwa na umri mdogo wanayafurahia maisha sana
 
Nilikua na hii mind set nikikosa pesa nahangaka kama mbwa koko, ilinifanya nikaingia kwenye madeni mengi sana.
Sa hivi na relax mradi niwe na mahitaji muhimu basi!
Ongeza sana juhudi kwenye kutafuta pesa uwe hadi na za ziada

NB: UNGA SIO AKIBA
 
Ili mbooo isimame unahitaji hela kiasi gani? 🤔
Kipimo cha kuona kama una pesa ni pale unapoulizwa sana na watu kuwa wewe pesa unazitoa wapi.

Ukiulizwa sana hilo swali jua hauko mbali🔥🔥
 
Bila hela hata mafua yanaweza kukuuwa yakikutinga usiku
 
Nyinyi mnaotaka kua nabhela kila siku ndo mnavuliwa ubingwa kizembe acha tamaa kijana kuna kupata na kukosa. Sasa ww hutaki kukosa watakutafuna jicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…