Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

Acheni ujinga wenu. Hama chama nenda kabisa. Kwani mmefungwa kamba?. Huyu Mbowe ndio amenza kuwa mbaya sasa? Chama hawawezi kabidhiwa vijana wahuni. Lissu asubirie atapewa chama baadae huko.
Baadae ipi hiyo, sasa hv mbowe hana mvuto kabisa anasubiri nn kukaa pembeni...kipi bora chama kififie zaidi (mbowe akishinda) au chama kifufuke (lissu akishinda).
Hv mmekula maharage ya wapi nyie, chadema ya mbowe inakwenda kuwa cuf ya lipumba!
 
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,

Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,

Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?

Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.

Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?

ROHO INAUMIA SANA.
Kazi unayo
 
Back
Top Bottom