Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya trh 21 itajulikana Bora kwenda CCM kuliko kubaki kwenye tawi la CCM-CHADEMAWatu walihama ccm sio kwa sababu ni chama kibaya, tatizo ni viongozi mafisadi. Kama chadema ilibeba tumaini la kukomesha ufisadi ghafla wakawa mafisadi, itakuwaje wakipewa nchi?
Bora ccm mbovu tunayo ijua kuliko chadema mbovu.
Watambue sisi sio wajinga. Lissu asiposhinda watakuwa wamedhihilisha chadema sio chama cha demokrasia bali ni family saccoss behind politics. Ujumbe wa mtoto wa FAM tuliusoma. Tunasubili majibu 21/1/2025
Mbowe hapana KwakweliHivi kiunyasi kikidondoka kutoka kwenye nyumba itavuja? Hameni tu bwana wala msitutishe!
Mbowe yupo sana mwanzo mwisho! Yaani chama kichukuliwe na diaspora?Mbowe hapana Kwakweli
Wacha watu tuende tu CCMMbowe yupo sana mwanzo mwisho! Yaani chama kichukuliwe na diaspora?
Mimi silijui hilo ndiyo nalisoma kutoka kwako kuwa Chadema wanaichukia ACT Wazalendo.Kwanini chadema wanaichukia ACT?
Hiyo nayo ni CCMMimi silijui hilo ndiyo nalisoma kutoka kwako kuwa Chadema wanaichukia ACT Wazalendo.
Umemnyoosha kwa kweli. Nimeshangaa hata msigwa nae anamsema Mbowe ccm nae anaenda huko huko.Unakwenda CCM kumfuata huyo huyo Mbowe maana yeye ni pandikizi la CCM. Bora uende kwa Chauma.
Kwani kunatofauti gani kuongozwa na Mbowe au Wassira?Umemnyoosha kwa kweli. Nimeshangaa hata msigwa nae anamsema Mbowe ccm nae anaenda huko huko.
Uko sahihi kabisaWatu walihama ccm sio kwa sababu ni chama kibaya, tatizo ni viongozi mafisadi. Kama chadema ilibeba tumaini la kukomesha ufisadi ghafla wakawa mafisadi, itakuwaje wakipewa nchi?
Bora ccm mbovu tunayo ijua kuliko chadema mbovu.
Watambue sisi sio wajinga. Lissu asiposhinda watakuwa wamedhihilisha chadema sio chama cha demokrasia bali ni family saccoss behind politics. Ujumbe wa mtoto wa FAM tuliusoma. Tunasubili majibu 21/1/2025
Mbona Mbowe nae ni ccm na bado wanamkumbatia?Ni CCM pia
Wengi hawakujua kiini hasa cha kuanzishwa kwa chadema ni nn? Mbowe mwenyewe kwa kinywa chake ndiyo amewafumbua macho wanachadema wengi aliposema chadema ni mali yake kwa kuwa ametumia fedha zake nyingi kuendesha chadema. Na ndiyo maana hataki kuachia kiti.Lakiji kama kilichokupeleka Chadema ni Itikadi, na falsafa iliyopelekea kuanzoshwa kwa chama hicho,ninyi ndio msiofahamu mnataka nini.
DhambiSijui ni kitu gani kimemtokea Mbowe, yani kachukiwa ghafla sanaaaa. What happened??
Mbowe kuwa tena mwenyekiti ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM. Wanachama wengi sana hawataiunga mkono Chadema kwa sababu ya Mbowe.Dalili mbaya imeonekana Bawacha .
Mbowe akishinda chama kutakuwepo lakini kitakua kama CUF ,NCCR na UDP.
Wananchi kwa kweli na viongozi wa chini hawatakua na uwezo wa kukabiliana na CCM .
Mbowe hatapata hasara maana kama ni pesa anazo na pia kiu yake ya kukaa kwenye kiti Muda Mrefu itakuwa imetimia .
Watakaopata hasara na kuumia mioyo yao ni wanachama wa kawaida ambao hawanufaiki na chochote zaidi ya kupinga ufisadi unaonufaisha wachache . Hata Morali wa kupiga Kura utapotea .
Hata Mgombea urais CHADEMA watakosa itabidi Mbowe agombee mwenyewe au agombee Wenje au Sugu au Bony Yai 😂😂😂😂😂😂😂.
Mpaka hapo chama kimeshakufa. Bawacha wamechemka wameweka msaliti wa wazi .
Mwakani CHADEMA litakua na wabunge wachache sana chini ya Mbowe tena wa viti maalumu akiwemo mwenyekiti wa Bawacha ambaye pia atapata uteuzi wa mama Samia . Hata pakiwa na Tume huru CHADEMA haitapata viti vingi maana vijana wengi na wasomi wengi hawataipigia kura maana hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza nchi chini ya Mbowe. Lisu hawezi kukubali nafasi yoyote ya uongozi chini ya Mbowe ,hata kugombea ubunge chini ya Mbowe ni kupoteza maana kama amesema hafai kuongiza kwa sababu hana busara unampaje uongozi ?
Lakini Lisu akishinda basi ni wazi CHADEMA itapata viti vingi vya Wabunge hata wa viti maalumu watakua wengi.
Wasira hawezi kukabiliana na Heche milele.
Lakini kwenye uadilifu Wenje hawezi kukabiliana na Wasira .
Mbowe hawezi kukabiliana na Samia kwenye jukwaa wala Wasira maana ni wasafi kuliko Mbowe.
Mbowe akishinda hata kwa haki bado wananchi hawamtaki na hawataki kabisa kusikia habari za CHADEMA ya Mbowe.
Mbowe ajiulize Mbona Lipumba ni yule yule Profesa wa uchumi duniani lakini ameshindwa kuifufua CUF na hana ushawishi kabisa wa kuifufua CUF milele .
Wanaomshabikia Mbowe wanatumiwa kumpotosha ili kuiua CHADEMA . Na watafanikiwa kwa asilimia mia moja endapo wajumbe wataingizwa na Tamaa ya fedha . CCM wana jeuri ya pesa . Hata wakiamua kugawa bili. moja kwa kila mjumbe wanaweza kwa sababu waleshagundua kuwa Mbowe naye ana tamaa ya madaraka kama wao . Sasa ni bora wawape pesa halafu wasipate shida kwenye uchaguzi .
CHADEMA imevamiwa na Rushwa . Kwa sasa wananchi hawana nguvu tena ile waliyokuwa wanabiwa nguvu ya umma . Hakuna cha nguvu ya umma zaidi ya umimi .
Wewe ni mccm, hakuna mwanachadema anayeweza kufurahia kupoteza wanachama kwani mtaji wa chama ni wingi wa wanachama. Baada ya uchaguzi watu wanatakiwa kuwa kitu kimoja siyo huo upuuzi unaosema wewe.Hivi kiunyasi kikidondoka kutoka kwenye nyumba itavuja? Hameni tu bwana wala msitutishe!
Yan ni kama kakosa kibali ghafla sana, ametoka mioyoni mwa watu. Yan watu waliokua wanakupenda dakika 5 nyuma saa hii hawataki hata kukusikiaDhambi
Lisu akishinda kura yangu kwa CCM.Lisu hana karama ya uongoziWananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.
Hata ikifa hamna shida cha umuhimu ni mwamba atuvusheKUMCHAGUA MBOWE NI KUCHAGUA KI FO CHA CHADEMA
WAJUMBE KUWENI MAKINI SANA