Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa sababu Sina Cha kuwaeleza hawa wajumbe.
Hata nikiwaambia Mimi sijala rushwa wataniambia kura ni Siri kwanini nilipiga kwa Mbowe?
ROHO INAUMIA SANA.