je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Marumo gallants ni pombe ya ngomani Kila mtu mlevi anajipigia ,
Nitawashangaa na kuwadharau wananchi kwa kujisifia kwa kumpiga marumo goli za kutosha
Marumo kufungwa ni asili Yao .Yan huwezi kuwatenganisha wao na kufungwa.
Kufungwa kwao kupo damuni,
Kila timu ya south Africa kamfunga marumo kwenye ligi
Imekuwa sio stories kwa wao kufungwa labda wangeshinda ndio ningeshangaaa
Hao marumo wangekufa hata mbili kavu na coastal union au mbeya city
Kiufupi hawa mabwana walishajifia siku nyingi Wala tusikaze mishipa ya shingo na kuwasifia yanga Kila comments
I bet yanga anachukua hili kombe Wala Haina ubishi katika Hilo
Ongereni wananchi kwa ubingwa WA kombe la QT.
Ila kujiona miamba kwa kuwafunga marumo hapana kabisa
Mtu Wa Mpira hapa !
Mtu Wa ball
Mfungaji WA muda wote !