Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa kushirikiana na Refa kutoka Mauritania.
Technically, Yanga imefika nusu fainali CAF CC kwa ushindi wa goli 1 lakini ilinyimwa ushindi huo kwa kutumia maamuzi yasiyo sahihi.
Technically, Yanga imefika nusu fainali CAF CC kwa ushindi wa goli 1 lakini ilinyimwa ushindi huo kwa kutumia maamuzi yasiyo sahihi.