Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
usisahau pia kuwaambia baada ya Yanga kudhulumiwa kolo fc walishangilia mpk wakasahau kwamba mashujaa fc kampaka vumbi saidi kichwa akimsubiri kolo...Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa kushirikiana na Refa kutoka Mauritania.
Technically, Yanga imefika nusu fainali CAF CC kwa ushindi wa goli 1 lakini ilinyimwa ushindi huo kwa kutumia maamuzi yasiyo sahihi.
Nakuunga mkonoHivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa kushirikiana na Refa kutoka Mauritania.
Technically, Yanga imefika nusu fainali CAF CC kwa ushindi wa goli 1 lakini ilinyimwa ushindi huo kwa kutumia maamuzi yasiyo sahihi.
Mental disorder.....ila Milembe haijajaa,wana-uto msaidieni ndugu yenu!!!!Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa kushirikiana na Refa kutoka Mauritania.
Technically, Yanga imefika nusu fainali CAF CC kwa ushindi wa goli 1 lakini ilinyimwa ushindi huo kwa kutumia maamuzi yasiyo sahihi.