Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Maisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu
Dah kwa. Kweli ni safar ndefu sana sister ngoja tu nikomae hakuna namna
 
Byeee
26157473_109715576500794_2789344812212420608_n.jpg
 
Back
Top Bottom